Kifo cha msanii wa Arbantone, Stoopid Boy, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili nchini Kenya. Taarifa za awali zinaeleza kuwa msanii huyo alifariki kwa kujiua Agosti 27, 2026.
Miezi kadhaa kabla ya kifo chake, Stoopid Boy alikuwa amezungumza hadharani kuhusu depression, matumizi ya pombe na...