bot

A board of directors is a group of people who jointly supervise the activities of an organization, which can be either a for-profit or a nonprofit organization such as a business, nonprofit organization, or a government agency.
The powers, duties, and responsibilities of a board of directors are determined by government regulations (including the jurisdiction's corporate law) and the organization's own constitution and bylaws. These authorities may specify the number of members of the board, how they are to be chosen, and how often they are to meet.
In an organization with voting members, the board is accountable to, and may be subordinate to, the organization's full membership, which usually elect the members of the board. In a stock corporation, non-executive directors are elected by the shareholders, and the board has ultimate responsibility for the management of the corporation. In nations with codetermination (such as Germany and Sweden), the workers of a corporation elect a set fraction of the board's members.
The board of directors appoints the chief executive officer of the corporation and sets out the overall strategic direction. In corporations with dispersed ownership, the identification and nomination of directors (that shareholders vote for or against) are often done by the board itself, leading to a high degree of self-perpetuation. In a non-stock corporation with no general voting membership, the board is the supreme governing body of the institution, and its members are sometimes chosen by the board itself.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani
  2. C

    Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  3. K

    Hili la BoT na akiba ya dhahabu ni kazi kweli kweli

    Tuishi na nani hapa?! Hii nchi tunazungushwa mpaka tunasikia kizunguzungu halafu wanatuacha.
  4. BoT Vs Kitila Mkumbo Vs Mwigulu; Wananchi tumsikilize nani sakata la akiba ya dhahabu?

    BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha? Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba...
  5. Kati ya Kitila Mkumbo na Mkurugenzi wa masoko BOT Emmanuel Akoro nani kapotosha umma

    BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha? Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba...
  6. BOT imepanga Kushirikisha vyuo vikuu ukuzaji wa akili Unde

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 22 Januari 2026 imesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) na taasisi tano za elimu ya juu kwa lengo la kukuza matumizi ya akili unde (AI), kuimarisha ubunifu katika matumizi ya data, na utafiti katika kuongeza tija kwenye uundaji wa sera na...
  7. Karibu katika jarida la Uchumi Wetu toleo la tatu kutoka BOT

    Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa sheria. Katika toleo hili, utapata taarifa kwa kina kuhusu shughuli na majukumu ya Benki Kuu Ya...
  8. Kuna matangazo mengi ya mtandaoni ya mikopo ila TCRA na BOT wanajua pesa waliolipwa kwa uongo na uchochezi.

    Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
  9. Ushauri kwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

    Kutokana Hali ya kiuchumi Ninayo Iona naishauri BOT kutengeneza noti za TSH elfu 50 laki 1 na elfu 30 Noti ya elfu 10 imeshuka thamani huenda ikapotea kama TSH 50 na na zingine zingine Maana ndani ya miaka mitano ijayo elfu 10 itakuwa Haina thamani kabisa
  10. BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  11. BoT tupeni majibu sarafu ya Tsh 100 imetoweka mtaani

    Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k ila huku tushasahau BOT tupeni majibu Tsh 50, 100, 200 hazionekano kwenye mzunguko
  12. BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

    Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha. Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi...
  13. M

    Ufisadi wa sasa una originate 'juu' ndo mana ni ngumu kufahamu. BOT, Mwigulu, wana siri nzito

    Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa Wafanyabiashara wakubwa wanahusika Kwa kukwepa Kodi kupitia Ikulu na vyombo vyake, mtu kama GSM ana tabia ya...
  14. K

    Pongezi kwa BOT thamani ya Shilingi ya Tanzania imeimarika

    Kwa miezi miwli sasa thamani ya shillingi ya Tanzania imekuwa imara(stable) kulinganisha na fedha za nchi mbalimbali. Ninaomba juhudi iendelee kufanyika ili shillingi ya Tanzania iendelee kuimarika kuliko hivi sasa.
  15. B

    BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  16. Changia maboresho ya huduma Za BOT kwa kujaza Dodoso la Kuridhika kwa Wadau kwa mwaka 2024/2025

    Changia maboresho ya huduma zetu kwa kujaza Dodoso la Kuridhika kwa Wadau kwa mwaka 2024/2025 kupitia link hii Welcome to BoT Stakeholders' Satisfaction Survey Bank of Tanzania (BoT) is conducting survey to assess levels of stakeholder’s satisfaction on its undertakings. This will enable the...
  17. Z

    Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  18. BoT yasisitiza ni marufuku kutumia fedha za kigeni kufanya miamala ya bidhaa na huduma nchini

    Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025. Kwa mujibu wa Kanuni hizo, bei...
  19. BOT iondoe sifuri moja kwenye noti za Tanzania kama walivyfanya Zambia mwaka 2012

    Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
  20. Benki Kuu (BoT) yaendelea kusisitiza kuwa malipo ya huduma zote ndani ya nchi yanapaswa kufanyika kwa Shilingi ya Tanzania

    KATAZO LA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA KUFANYA MIAMALA YA NCHINI/MALIPO NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kwamba, kulingana na matakwa ya Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006, Serikali imetoa Kanuni za Matumizi ya Fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…