Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...