bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  2. Kikosi changu bora mzunguko wa kwanza ligi kuu..

    Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili. Djgui diarra djuma shaban kibwana shomary Dickson job bakari mwamnyeto Litombo bangala aucho feisal salum saido ntibazonkiza fiston mayele jesus moloko. SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed...
  3. M

    Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

    Majibu yenu Great Thinkers ni Muhimu.
  4. Eto'o: Okocha alikuwa ni bora zaidi ya Ronaldinho

    Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Real Madrid, Chelsea, Everton na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto'o Fils amesema kwake yeye Okocha alikuwa na uwezo zaidi ya Ronaldinho. Tulichokiona kinafanywa na Ronaldinho kilishafanywa miaka 10 mpaka 15 iliyopita na Okocha. Hata walipokuwa wote PSG...
  5. Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
  6. Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  7. Ipi bora kati ya worldpress au blogger

    Mimi ninamiliki blog blogger ila katika pita pita zangu naona kuna wordpress je yupi ni bora Faida ya worldprss kuzid blogger na hasara zake Na ukitaka kuhama kuja worldprss bila kupoteza post unafanyaje HaileDavy karibu tujumuike kusaka maarifa
  8. Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  9. Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  10. Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  11. I

    Nini huathiri ukuaji bora wa ng'ombe wa nyama? Nini kifanyike?

    Habarini ndugu wa JF, Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa bana kama ukifankiwa kuwakuza.
  12. Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

    Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
  13. T

    Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

    Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa...
  14. Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi tano kinara kwa uwekezaji Afrika 2022

    Five African countries for investors to watch in 2022 Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI. tment Monitor‘s Africa investor guides, covering the north, east, west, centre and southof the...
  15. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  16. Microsoft office ipi ni bora zaidi?

    Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani
  17. M

    Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  18. Ni ipi program bora ya Uhasibu?

    Habari za masiku ndugu zangu, Kwa wale wataalamu wa software au wenye fani ya uhasibu nilikuwa nahitaji kijua program ipi ambayo naweza kuitumia kutunza kumbukumu zangu za kifedha hasa kutoa mapato na mafumizi ukiachana na Excel
  19. Bado kwako elimu ni bora kuliko pesa ?

    Kwa hali ya maisha jinsi tunavyoiona ambapo kila kitu kwasasa bei juu je bado unaamini kwamba elimu ni bora kuliko pesa au ushabadiri mawazo yako ?
  20. Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

    Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza. =================== Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…