bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi acheni uandishi wa bora liende

    Wenje aunguruma Sengerema Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na kutaabika. Wenje ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, ametoa kauli hiyo leo Oktoba 20...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania inatajwa kuwa na uchumi bora

    Wachumi wanaamin Tanzania inanafsi nzur.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwangu madilu systerm ni msanii bora kuliko franco luambo makiadi

    Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo makiadi kwangu madilu ni bora kuliko franco mimi kwangu franco ni namba mbili baada ya madilu. Japo...
  5. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

    Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6. Haruna Moshi 7. Mohamed Mwameja 8. Boniface Pawasa 9. Victor Costa 10. Athuman Iddi Chuji
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania tunahitaji maji, umeme wa uhakika, huduma bora za kijamii na uchumi imara siyo kutafuta sifa za kisiasa kwa kufurahisha magenge

    Nyerere aliwahi kutamka wazi, Kwamba maadui watatu wa taifa letu ni maradhi,ujinga na umasikini.Hivi vinapaswa kuwa kipimo kwa kiongozi yeyote aliyepo madarakani. Ni ukweli kwamba siasa zina umuhimu na nafasi ya kipekee katika kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli, Lakini porojo zisizo na...
  7. JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  8. JamiiForums Tanzania CDM hawataruhusu aina ya Magufuli waingie madarakani, bora waunge mkono timu SSH. Sawa kwa CCM asili pia, ni mchezo mgumu kucheza!

    Yaani Chadema Bora muwaue kuliko team Magu warudi madarakani, na Bora CCM asili muwaue kuliko wakubali team MAGU warudi madarakani. Hard cards to play
  9. JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kikosi changu bora cha mwaka 2022

    Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden. Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022. Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa na CNN kama sehemu bora ya kutembelewa kwa mwaka 2023

    Kwa mujibu wa mtandao wa cnn , tanzania ni moja ya sehemu bora na imewashauri watalii kuitembelea. Na ni nchi mbili tu kwa Afrika zilizotajwa nyengine ni Rwanda japokua Rwanda haikutajwa kama nchi ili kuna hoteli, sextarion Rwanda, ndio imepigiwa chapuo. Ila Tanzania imetajwa kama nchi na...
  11. JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  12. JamiiForums Tanzania Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

    Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022; 1. Pascal Mayalla 2. MamaSamia2025 3. Etwege 4. johnthebaptist 5. GENTAMYCINE 6. smarte_r 7. cocastic 8. Erythrocyte 9. DeepPond 10. Mmawia
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles 🇸🇨 (51st) 2. Algeria 🇩🇿 (73rd) 3. Mauritius 🇲🇺 (78th) 4. Egypt 🇪🇬 (84th) 5. Kenya 🇰🇪 (90th) 6. Tunisia 🇹🇳 (104th) 7. Eswatini 🇸🇿 (105th) 8. Ghana 🇬🇭 (106th) 9. Morocco 🇲🇦 (113th) 10. South Africa 🇿🇦 (114th) 11. Cape Verde 🇨🇻 (118th) 12. Sao Tome and Principe 🇸🇹 (119th)...
  15. JamiiForums Tanzania Vyoo vya kuchuchumaa ni bora kuliko vyoo vya kukalia

    NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia. Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa.. 1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi la asili kwajili ya kutoa haja kwa ufanisi wa hali ya juu, njia ya haja linafunguka zaidi pale...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  17. JamiiForums Tanzania Je, watu chotara ndiyo watu bora kabisa duniani?

    Habarini, Kisayansi inasemwa kuwa kadri kiumbe kinavyokuwa na mchanganyiko mwingi wa vinasaba ndani yake, ndivyo ubora wake na chance yake ya kusurvive inavyokuwa kubwa. Ndiyo sababu kubwa ya kukataza ndugu kuoana, ni ili ule mchanganyiko upatikane. Zamani familia za kifalme walikuwa wanoana...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa jina la Utawala Bora na Kuwajibishana, hawa Mawaziri kuwa NEC ya CCM ni makosa na aibu

    1. Dotto Biketo (MNEC) 2. Januari Makamba (MNEC) 3. Mwigulu Nchemba (MNEC) 4. Nape Nauye (MNEC) 5. Angelina Mabula (MNEC) 6. Ashatu Kijaji (MNEC) 7. Angela Kairuki(MNEC) 8. Hussein Bashe(MNEC) 9. Innocent Bashungwa (MNEC)
  19. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya vyama vya siasa vilivyofanya vizuri 2022

    Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania. 1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2. ACT Wazalendo. 3. Tanzania Labor Party (TLP) 4. Civic United Front (CUF) 5. NCCR Mageuzi 6. United Democratic Party (UDP) 7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA) 8. PPT...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…