bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  2. JamiiForums Tanzania Shomary Kapombe ndiyo Mchezaji Bora Simba kwa sasa

    Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni kama game moja tu ndiyo kidogo alikuwa na changamoto uwanjani. Kama kuna mchezaji wa Simba...
  3. JamiiForums Tanzania Ghafla bin vuu huyu ndie Rapper wangu bora wa muda wote (G.O.A.T)

    Nilimfahamu gafla bin vuu kupitia Rafik yangu (kibandike), wengi tulipenda kumwita aa Kiba. Gafla bin vuu ana Mixtape 3 Ujio wa mimi na upweke Mapishi ya Upendo Zamani July Nyimbo zake nyingi nazipenda kuzisikiliza. Pia kama una nafasi unaweza kuzisikiliza. Ghafla
  4. JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  6. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Bora malaya wa bar ni wasafi kuliko videmu vya kitaa

    Kwanini Nina imani Na mademu ma barmaid 1.ni wasafi wanaoga Na kupendeza kutokana Na nature ya kazi zao lazima wawe smart wanukie vizuri wajinyoe hawataki fedheha maana baadhi ya Wateja huwa wana tabia ya kukejeli public mfano fulani ananuka k.. 2.wanajali kinga maana wanajua wanatoka Na watu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Kampuni Tz yenye Huduma bora zaidi kwa wateja zaidi ya Sokabett?

    Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na shughuli zangu. Ila kuna hawa wahudumu wa Sokabet weeee, kwanza sauti zao tu! zinashawishi unatamani hata...
  8. JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  9. JamiiForums Tanzania Ubepari katika siasa za kibwanyenye hapa Tanzania, ni bora ukoloni

    Tulivyowaondoa wakoloni tulikubaliana kuwa tutakuwa huru na tukaanza kujenga siasa za ujamaa na kujitegemea! Hatukusema waliopigania uhuru watakuwa miungu watu. Makabaila na mabwanyenye! Tulikubaliana uhuru kwa wote na usawa miongoni mwa jamii yetu. Tulikubaliana kwamba binadamu wote ni sawa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania bora ni baada ya CCM kupumzishwa

    Yapo mengi yanayoweka matumaini ya Tanzania bora baada ya hawa ndugu kuondolewa madarakani. Hawa ndugu wameshindwa kujifunza wala kubadilika pamoja na kupigiwa kelele mno. Kwamba ni lipi hawakuambiwa? 1. Ni hii misafara mirefu yenye kutuweka barabarani bila ukomo kuwapa wao nafasi ya kupita...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa ndio kitu bora kabisa Mungu alichowahi kumpa mwanadamu

    Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq. Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi Bora viongozi Bora siasa safi

    Sasa ni wazi kuwa katika ukanda Wa maziwa makuu Tanzania ndio nchi yenye viongozi Bora siasa safi. Hakuna mtu anayeweza kubisha juu ya hili.nchi hii sasa inafaa kwa kuishi Tanzania Ya sasa ina mpa kila mtu na fasi ya kuishi bila Hofu. Ulinzi umeboreshwa kwa kila mtu.shule hospital...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

    Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  15. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

    Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  17. JamiiForums Tanzania Faida ni bora kuliko mshahara. Mshahara utakufanya uishi tu, lakini faida inaweza kukufanya uwe tajiri

    Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
  18. JamiiForums Tanzania Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

    Mtandao uliotoa takwimu na kusema Tanzania inashika nafasi katika ligi tano Bora Afrika bila kujali Kigezo walichotumia huenda takwimu hizo zilisukumwa na aidha kutokuwa na taarifa sahihi kuhusu ligi za Afrika, au mitazamo na mihemko binafsi au labda alitumia Kigezo cha kuwa na mashabiki na...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  20. JamiiForums Tanzania Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…