bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Itafute Mbinu Bora ya Kupambana na COVID19

    Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata chanjo tayari tuanze kurudi kuvaa mabarakoa tukiingia sehemu mbalimbali. Kuna hofu hapa kuwa namba...
  2. JamiiForums Tanzania Goli bora CAFCL, Miqsone akimbiza. Mpigie kura sasa

    Nenda kampigie kura dogo ashinde. Hata kama ni Yanga kampe dogo kiroho saaafi Updates Luis ameshinda kwa kishindo 92.5%
  3. JamiiForums Tanzania Kigeugeu cha CCM: Leo wasema Chanjo ni bora kuliko Nyungu

    Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai. Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nguzo muhimu kwa familia bora na imara ili kuleta maendeleo

    Mwanzo wa siku uanzia asubuhi na mapema ambapo jua uchomoza, Mpambanaji anaamka ndani ya familia yake tayari kuianza siku mpya yenye mipango na matalajio mengi. Ukiwa mwenye kiu na chachu ya mafanikio yakupasa uwe na Familia bora na imara kwani hao wanafamilia ndio wa kwanza kukutana nao na...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora na Maridhawa kwa Kuinua Maisha ya Watanzania kufikia mwaka 2040

    Watanzania wengi wanasumbuliwa Sana na ukombozi wa kifikra, Changamoto nyingi Sana za Maisha zinaielemea Jamii kwa sababu ya Elimu Mbovu na Mijiundo ya kiutawala tuliorithi kwa wakoloni! Hii imekua ni dhana mbovu Sana katika kuikwamua jamii katika lindi la umasikini wa fikra, mitazamo na Maisha...
  6. JamiiForums Tanzania Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

    Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara ili kujiletea maendeleo

    Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, nakadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara

    Moja kati ya vitu muhimu sana katika kuinua uchumi wa nchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, na kadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya takataka na mbinu bora ya kuziondoa na kuweka mji katika hali ya usafi .

    Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika. Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha...
  10. JamiiForums Tanzania Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    Salaam WanaJF! Binafsi ni msomaji sana wa Vitabu. Kupitia vitabu nimejifunza mengi, nimesafiri kwenda kwingi na nimekutana na wengi. Katika Usomaji wa vitabu, kila mtu anavyo vitabu ambavyo kwake ni bora zaidi na kwa sababu zake. Kupitia uzi huu naomba tushirikishane vitabu bora kabisa kwako...
  11. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora kwa maendeleo ya Taifa

    “UONGOZI BORA KWA MAENDELEO YA TAIFA” Wengi tunajua sifa mbalimbali za viongozi bora waliopo na hata waliopita, basi sasa naend kueleza vitu vichache kwa upana zaidi juu ya viongozi ama uongozi bora kwa maendeleo ya familia,ukoo,mtaa,kijiji,kata nk mpaka kwa ngazi ya Taifa. Kiongozi bora ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kahawa bora zaidi duniani

    Luwaki Coffee; Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa. Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa, Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani Karibuni.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nyenzo ya Uwazi katika Ujenzi wa Utawala Bora

    Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi Bora na Uwajibikaji wa Kidemokrasia

    UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora chenye tija na maendeleo

    Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wote tunajishughulisha na kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu, Ikiwa hivi ndivyo mbona hatuna maendeleo kuanzia kwa mkulima, jamii, wala taifa kwa ujumla?' Ni kwa sababu bado hatuna kilimo chenye tija na kutuletea maendeleo Sasa tunaenda kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni. Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
  18. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miji na majiji bora: Tufanye nini kuboresha majiji yetu hapa Tanzania?

    Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi. Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo ikipangiliwa vibaya 'livability' yake inakuwa ngumu, basi miji na majiji ni hivyo hivyo. Kama mkazi wa Dar na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo ni nguzo mama kuelekea uchumi wa viwanda

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba.Kilimo kina maana pana sana inayojumuisha uzalishaji wa mimea,ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi.Tanzania takribani 70% ya wakazi wake hujishughulisha na kilimo. Zifuatazo ni faida za kilimo. Kupatikana kwa chakula :-Kilimo kinawezesha kupatikana...
  20. JamiiForums Tanzania Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…