bongofleva

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nyimbo za Bongo Fleva zenye stori za kweli

    1. Sitaki Demu - Juma Nature Nature alitoa kibao hiki mara baada ya kugombana na mpenzi wake Sinta 2. Inaniuma Sana - Juma Nature Chanzo cha wimbo huu ni kama ilivyokuwa hapo juu, Nature aliachana na Sinta msichana aliyempenda sana kabla ya kuzinguana. 3. Msela - Bushoke Huu wimbo Bushoke...
  2. Pascal Mayalla

    The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  3. sinza pazuri

    Rayvanny anatengeneza direction sahihi ya Bongo Fleva. Wasanii muifate

    Kuna siku niliweka thread nikisema Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi cha sasa, wakatokea watu wakanishambulia sana. Sasa niwaambie movement za sasa za Ray ndio standard tunayopaswa kwenda nayo kama tunataka kutoboa soko la international. Ukisikia EP yake mpya inaitwa New Chui unaona kabisa hii...
  4. Ferruccio Lamborghini

    Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  5. Forest Hill

    Historia ya muziki wa kizazi kipya na chimbuko la neno Bongo Fleva

    Disclaimer:imesimuliwa na Martin Izze Chimbuko la muziki wa kizazi kipya tanzania na maana halisi neno Bongo Flava (SEHEMU YA KWANZA) Moja kati ya mambo niyapendayo mno maishani ni muziki.Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa muziki si tu ule wa nje lakini kwa karibu ule wa nyumbani hasa muziki...
  6. Cannabis

    Wasanii wa Bongofleva sasa kupewa misamiati kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili

    Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili. Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
  7. LIKUD

    Herode wa Bongofleva anamtafuta mtoto ambae amezaliwa

    Herode anamtafuta mtoto ambae amezaliwa. Herode alifadhaika Sana moyoni, kusikia mfalme Yesu amezaliwa katika Bethlehem nchi ambayo Herode aliitawala. Mtoto mfalme alie tabiriwa kuchukua ufalme wa Bongo Fleva, amezaliwa usiku wa Jana tarehe 14 March 2020 @ Mlimani City
  8. Z

    Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

    Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
  9. gonamwitu

    Mrithi wa kiti cha ufalme wa bongofleva hawezi kutoka kwenye mikono ya Ali Kiba wala Diamond Platnumz,

    Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye mikono ya hawa manguli wawili wanaotifuana na kupelekana mchaka mchaka kunako game ya bongofleva...
Back
Top Bottom