bomba

Bomba the Jungle Boy is a series of American boys' adventure books produced by the Stratemeyer Syndicate under the pseudonym Roy Rockwood. and published by Cupples and Leon in the first half of the 20th century, in imitation of the successful Tarzan series.Twenty books are in the series. The first 10 (published from 1926-1930) are set in South America, where Bomba, a white boy who grew up in the jungle, tries to discover his origin. The second set of 10 books (published from 1931-1938) shift the scene to Africa, where a slightly older Bomba has jungle adventures.
A common theme of the Bomba books is that Bomba, because he is white, has a soul that is awake, while his friends, the dark-skinned natives, have souls that are sleeping. Richard A. Lupoff, in his book Master of Adventure, a study of the works of Tarzan creator Edgar Rice Burroughs, describes the Bomba tales as more blatantly racist than the often-criticized Tarzan books.From 1949 through 1955, Monogram Pictures brought the character to the motion-picture screen in 12 Bomba films, starring Johnny Sheffield. Sheffield was already established as an outdoor star; he had portrayed the character Boy in the Tarzan movies with Johnny Weissmuller. When the Bomba films, all set in Africa, proved popular with young audiences, the first 10 Bomba books were reprinted in the 1950s by Grosset & Dunlap, a publisher of many popular series books such as the Hardy Boys and Nancy Drew. These same books were reprinted again by Clover Books, a short-lived publisher that also reprinted the Grosset and Dunlap series Tom Quest.
In 1962, WGN-TV repackaged the Bomba films as a primetime summertime series called Zim Bomba that became a local ratings sensation. WGN executive Fred Silverman stated that "Zim" meant "Son of" in Swahili.In 1967–68, DC Comics published a Bomba comic book series. It ran for seven issues and included scripts by Denny O'Neil and artwork by Jack Sparling.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

    Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba. Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wabaini bomba lililotumika kuiba mafuta kwa miaka 9

    Maafisa wamegundua njia hiyo haramu iliyounganishwa kutoka baharini ikiwa na urefu wa kilometa 4 katika moja ya kituo ambacho kinasambaza mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku. Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Serikali NNPC LTD, Mele Kyari ametoa ripoti suala hilo kwa kamati ya Bunge ya Nigeria...
  3. JamiiForums Tanzania TPDC kujenga Bomba jipya la gesi Mtwara

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yasema Bomba la Mafuta (EACOP) litajengwa kwa namna yoyote ile

    CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU. Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Poland, Denmark na Norway waanza maandalizi ya bomba la gesi, kwaheri Urusi

    Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana... "The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Tuesday at the symbolic inauguration of the Baltic Pipe...
  6. JamiiForums Tanzania Standard Bank yatetea ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Standard Bank Group, benki ya kimataifa na yenye ushawishi katika ufadhili wa miradi mikubwa ya maendeleo barani Afrika imesema ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) utakuwa na manufaa kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Standard...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mimi nisingejipendekeza kwenda Msibani London na kupandishwa DalaDala bali ningepambania hasa Ujenzi wa hili Bomba

    Bunge la Ulaya limemwita Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya TotalEnergies, Patrick Pouyanné kujibu madai ya Bunge la Ulaya kwamba Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania haukuzingatia tahadhari za kimazingira na haki za binadamu. TotalEnergies ndiyo kampuni...
  8. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  9. JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
  10. JamiiForums Tanzania Africa Union Watch(AU) washangazwa na kauli ya uingiliaji mradi wa bomba la fatu Uganda hadi Tanzania.

    AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) Thinking ahead for Africa Public Policy Analysis Strategic Insight and Objective Analysis Practical and Effective Solutions Atlantic Road, Cape Point Road, Banjul, Kanifing Municipal Council, The Gambia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika kuishawishi dunia bomba la mafuta ghafi

    Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu. Source : azam tv
  12. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  13. JamiiForums Tanzania Kikwete amekutana na Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Je atatutetea Bomba la Mafuta la Uganda - Tanga?

    Salaam Wakuu, Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga...
  14. JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Unapo zungumzia gesi ni tofauti sana na mafuta katika swala zima la uhifadhi na usafirishaji. Ili kuweza kuisafirisha gesi nje ya nchi unahitaji miundo mbinu ya kuweza kuibadilisha kuwa kimiminika. Ikiwa katika hali ya kimiminika ndipo unaweza kuipakia kwenye meli ikiwa kwenye mitungi maalumu...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa msimamo ujenzi bomba la mafuta la EACOP

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu. Waziri wa Nishati, January...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  18. JamiiForums Tanzania Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mississippi la Marekani lakumbwa na msukosuko wa maji ya bomba

    Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba. Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mama amuua mtoto wake kwa kosa la kufungilia bomba la maji

    Hii sasa ni hatari, hatujui dunia inaelekea wapi. Siku hizi ni kawaida kusikia mtoto kamuua mzazi wake au mzazi kamuua mtoto wake. Ni kawaida kusikia mume kamuua mke wake au mke kamuua mume wake. Yani ni vurugu mechi kila iitwayo leo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…