boeing

  1. N

    FlightRadar inaonesha ndege aina ya Boeing ikielekea kusikojulikana. Je, kuna utoroshaji wa pesa za umma au viongozi wakubwa wanakimbia nchi?

    Air Tanzania Dreamliner ime take off from JNIA masaa machache yaliyopita huku uelekeo ukionesha ni private. Unadhani kuna nini kinaendelea hapa?
  2. Fbn

    Toleo la Boeing 787 Dreamliner limekuwa likilalamikiwa kuhusu betri za lithium-ion kwa sababu ya matatizo ya usalama yaliyotokea tokea toleo kuwepo

    Tatizo la Betri ya Lithium-Ion Boeing 787 Dreamliner ilikuwa ndege ya kwanza ya kibiashara kutumia betri za lithium-ion kama chanzo kikuu cha nguvu kwa mifumo ya umeme badala ya mifumo ya jadi ya haidroliki. Betri hizi ni nyepesi na zina uwezo mkubwa wa kuhifadhi umeme, lakini zina hatari kubwa...
  3. Echolima1

    Qatar yamzawadia Rais Donald Trump ndege Boeing 747-8 ya kifahari!!

    Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari. Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza...
  4. Sigonella Island

    China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US. The trade war: China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing...
  5. Cannabis

    Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  6. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  7. X

    Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

    Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space Station (ISS) Ikumbukwe kuwa wanaanga hawa Barry Wilmore (M) na Sunita Williams (F) walienda na...
  8. Jamiitrailer

    Boeing wanalazimishwa kuzirudisha na kuzifanyia ukaguzi ndege za 787 Dreamliner

    Habari wadau, Wakati jana tumepokea ndege nyingine mpya ya ATC,Boeing 787 Dreamliner, mamlaka ya anga ya America,US FAA, wameitaka kampuni ya Boeing kuzirudisha (recall) ndege zote aina hiyo iliyotua jana Zanzibar ili zifanyiwe kwanza uchunguzi wa kina na marekebisho. Amri hiyo imekuja...
  9. Webabu

    Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

    Wanaanga wawili wa kimarekani kutokea shirika la anga la NASA wameshindwa kurudi nyumbani kwa wakati kutokana na chombo walichotumia kufika huko cha Starliner kilichotengenezwa na kampuni ya boeing kuwa na hitilafu kadhaa. Hitilifu kubwa zaidi ni mlango wa kutokea na kuingilia kugoma...
  10. ndege JOHN

    Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
  11. Mathanzua

    Boeing admitting to falsifying records related to the inspection of its 787 Dreamliner plane is extremely damaging for the company

    Boeing has admitted that its Employees falsified aircraft records for the 787 Dreamliner.This is an extremely dangerous anomaly, especially with regards to safety.Given this extremely disturbing exposé,Boeing's market share will likely plummet, as consumer confidence in Boeing drops Tue, May 7...
  12. Janeth Thomson Mwambije

    Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

    Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na...
  13. Suley2019

    Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  14. Roving Journalist

    Serikali: Mtambo wa Megawati 20 mfano wa Injini ya Boeing 747 umewasili kutatua changamoto ya umeme Mtwara na Lindi

    Serikali imesema imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi ya mtambo wa Megawati 20 utakaozalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia, mchakato ambao umefanyika...
  15. BARD AI

    Boeing yaagiza Mashirika yaliyonunua Ndege za toleo la "MAX" kufanya ukaguzi wa Mfumo wa Rudder

    Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo. Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
  16. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: ATCL ishughulikie tatizo la kuahirishwa au kusogeza mbele muda wa kuanza safari za Ndege zake

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akipokea ndege ya Abiria, Boeing 737-Max 9, leo Oktoba 3, 2023. https://www.youtube.com/live/lIJPqsglTiw?si=Vn-aBGEGe5ORDlfh === Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema bado kuna malalamiko ya wateja wa ATCL...
  17. L

    China yaweza kutembea kifua mbele na kuingia kwenye ushindani na makampuni ya kutengeneza ndege kama vile Boeing na Airbus

    Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa. Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
  19. MK254

    Boeing yasimamisha uagizaji wa "aluminium" kutoka Urusi, yaani Mrusi anakandamizwa kote

    Anguko la uchumi wa Urusi ni dhahiri, mpaka wakome Boeing said it stopped buying Russian aluminum in March after suspending operations in Russia. It's the second crucial metal Boeing has stopped buying from Russia, Reuters first reported. Boeing told Insider it sourced the metal from other...
  20. ward41

    Kumbe Rais Putin anatumia Boeing. USA hakwepeki

Back
Top Bottom