Mchambuzi maarufu wa Bitcoin ameenda kuwekeza kwenye sarafu ya $SHIB japo sarafu ya $DOGE ndio imeanza kupanda thamani

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,568
188,772
Habari,

Mchambuzi maarufu wa fedha ya kidigitali ameendelea kuwekeza kwenye sarafu ya Shibu In ($SHIB) japo sarafu ya $DOGE ikitegemewa kuanza kufanya vizuri baada ya hivi karibuni kupata ridhaa ya kutumika kwenye manunuzi ya baadhi ya bidhaa vya kampuni la magari ya umeme, Tesla.

Mchambuzi huyu Pentoshi ameonekana akiwekeza kwenye sarafu iliyojipatia umaarufu kwenye meme ambayo ni $SHIB japo sarafu shindani $Dogecoin ($DOGE) ikionekana kuanza kupanda thamani mara tu baada ya kuanza kutumia kwenye kampuni la Tesla kwenye manunuzi.

Pentoshi ambaye ni mtaalamu wa kuchambua fedha hizi za kidigitali mwenye wafuasi 460,000 katika mtandao wa twitter, ameonekana amenunua sarafu ya $SHIB akiwa anaamini ni risk/reward ratio ambayo italeta faida kwa aliyechukua uthubutu kama itakuja kufanya vizuri.

Pentoshi amenukuliwa akisema atakuwa mtazamaji na mfatiliaji wa karibu kwenye thamani na bei ya fedha za kidigitali katika soko hadi mwezi February kuona trend itakavyokuwa.

Ila inaonekana Pentoshi ame-invest kwenye $SHIB baada ya kuwa kwa fununu ya sarafu ya $SHIB kuanza kutumika kwenye platform ya Robinhood ambayo itaifanya sarafu ya $SHIBU kufanya vizuri.

Muda mfupi baada ya rumours hizo ya sarafu ya $SHIB kwenye platform za Robinhood, Ethereum whale amenunua sarafu za $SHIB takibrani 58.9millions. Ila ikumbukwe Shibu In imepoteza thamani takribani 53% toka Ifike thamini yake kubwa kabisa ya $0.00008 katikati ya October 2021.

Dogecoin kwa upande mwingine pia iliweza kufika thamani yake kubwa kabisa ni $0.7 na ilikuwa mei mwaka jana,2021. Ambayo pia imepoteza thamani zaidi ya 72% kwa thamani ya sasa ambayo ni $0.19 kulingana na Cryptocompare data.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Don Kwon wa Terra labs asipofungwa sijui. Maana now ana tuhuma kibao ikiwemo utakatshaji wa pesa haramu
 
Back
Top Bottom