birthday

A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Mwanamke nimemtongoza ndani ya wiki na ndani ya wiki hii ananiomba hela ya kodi na hela ya keki ya birthday

    Wanawake nimewanyooshea mikono aisee yaani hawa wanawake ni hatari aisee yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia,gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday aisee ndugu zangu...
  2. R

    Ikiwa October 29 ilikuwa birthday ya hayati Magufuli, vipi kuhusu March 17?

    Salaam! Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli. Sasa tunaelekea March 17 siku tuliyotangaziwa kifo Cha Magu, na ukizingatia akiba ya dhahabu mzalendo Magu aliyoitunza benki kuu...
  3. R

    Happy birthday Rais Samia Suluhu, umeupiga mwingi 2025

    Haya mwageni wishes zenu hapa mama anapokea :AlizeePLS::AlizeePLS::AlizeePLS:🎂
  4. Seran

    Happy birthday Minnie💛

    Happy birthday
  5. Seran

    It’s ma birthday y’all

    With heavy gratitude 💛 it’s my birthday, y’all! Extremely grateful to see another year blessed, growing, and glowing… HAPPY NEW BEGINNINGS!✨
  6. Avith almachius

    December 9 Ni Birthday Yangu

    INANIFIKIRISHA SANA NITOKE AU NISUBIRIE NIFWATE MAGETONI😔
  7. Mshana Jr

    Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

    Ridhiwani kapost picha mtandaoni akiwa na babaake na kumtakia birthday njema.. Maoni yaliyofuata ya wananchi yanaumiza na kufikirisha sana
  8. Mwanamke wa mithali 31

    Happy birthday to me

    No reform No election Miaka niliyoingia mwaka huu inaniogopesha kuliko last year Am 28 years old Sina ninachomiliki Age goo Mit 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
  9. Melki Wamatukio

    Leo ni Birthday yangu, miaka 25 sina mtoto wala uelekeo wa maisha

    Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula, nikapiga kelele kwa sauti kuu "Happy Birthdaaaaay to meeeee". Ile kugeuka nyuma nashangaa majirani...
  10. K

    20/08/19. Heri Ya Siku Ya kuzaliwa Happy birthday

    Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭 Sasa Wana JF nimeamua kuja mnitakie pamoja na nyie pamoja na ndugu zangu tuliozaliwa Leo🎉🎊 Happy...
  11. Estugo

    Happy birthday Mawardat🥰

    Wassalaam. Happy birthday my lovely sister🥰 Allah akulinde,uishi kipenzi🥰
  12. Mahondaw

    Happy birthday Smart911

    To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock. To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my favorite. Happy birthday to my friend my best friend a best friend in deed! Tamu yangu ya muda wote😋💕 I...
  13. Waufukweni

    John Heche akata Keki ya Birthday Mahakamani

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
  14. Donatila

    Happy birthday to me, mama Mchungaji wa JF

    Happy birthday 🎉 to me.. Happy birthday to me mama mchungaji wa JF... Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine... NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...?
  15. Munch wa Annabelle

    HASZU KAMA HAPPY BIRTHDAY YAKO YA MWAKA HUU BADO NATAKA NIGHARAMIE KILA KITU

    Nawasilisha Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia. Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
  16. Carlos The Jackal

    Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  17. Think2

    Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

    Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli? NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar...
  18. Guacamole

    Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

    Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish? Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
  19. Setfree

    Happy birthday to you, President Donald J. Trump!

    Better late than never... Happy birthday to you, President Donald J. Trump! As Philippians 4:8 reminds us, “Whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is lovely, whatever is admirable—if anything is excellent or praiseworthy—think about such things.”...
  20. Chakorii

    It’s my birthday today

    Karibuni tusheherekee pamoja siku hii muhimu kwangu wapendwa. Ninapokea zawadi kwa mikono miwili. Thank you 🫶🫶 😘😘 🥂🥂
Back
Top Bottom