bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea". Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya...
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa vichekesho anaomba mitano tena

    Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Bingwa wa Vichekesho nchini, Anapmba ridhaa apate miaka mitano tena.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
  4. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wapi The Bold na wasimuliaji wengine bingwa? Makabrasha ya siri (classified files) ya uchunguzi kifo cha J.F Kennedy hatimae yameachiliwa

    Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya kuuwawa Raisi JF Kennedy. Hatimae zimeachiwa. Watu wengi walisubiria taarifa hizi wakiamini huenda...
  5. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Mwafrika ni bingwa wa kudandia mafanikio ya watu wengine

    Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya sherehe Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi nyingi za kiafrika kuishi katika umaskini wa kutisha usio na dalili ya kuisha Mwafrika akiwa anaishi...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  8. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Simba bingwa asipochukua niulizwe mimi

    1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 4....Waambie huo upande wa...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hauhitaji kuwa 'genius' kujua Simba ni bingwa msimu wa 2024-25

    Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku ni kujipa magonjwa ya moyo na sonona bila sababu ya msingi. Niwatoe matumaini wale wote wenye...
  10. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Shirikisho 2025

    Habari wadau nauliza tu droo nilini mbona kimya. == Kwa sasa, Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) bado halijatangaza rasmi tarehe za droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2024–25. Hata hivyo, kulingana na ratiba ya mashindano, mechi za robo fainali...
  11. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Droo ya club bingwa na shirikisho hatua ya robo itafanyika lini

    Wadau poleni na kazi. Nilikuwa nauliza droo ya shirikisho na club bingwa itafanyika lini hatua ya robo. Uzi tayari. Kwa wanauto kaeni kwa kutulia.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga nayo ina Historia yake Klabu Bingwa, msiidharau

    Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia. Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Yanga nayo imo. Kwa mujibu wa taarifa za CAF, mwaka 1998 Yanga ilifungwa magoli 6-0...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umri laendelea kuitesa Yanga: Yang'olewa Klabu Bingwa Afrika -CAF

    Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani. Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
  15. Bueno

    JamiiForums Tanzania Yanga Bingwa : Nabashiri ushindi kwa Yanga leo Yanga itashinda 3:1 Mc Alger

    Tukutane hapa hapa baada ya dakika 90+5
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kibwana Shomari nilipokuona tu uko karibu na Mchezaji Mmoja Mstaafu wa Simba SC na Bingwa wa Miba nikajua tu Yao Kwasi amekwisha na limetimia

    Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Yao...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Arsenal ni bingwa wa UEFA msimu huu

    Najua Kuna vitimu vidogo vinahangaika kutaka kubeba UEFA ila napenda kuwatangazia kwamba Ile timu ya makombe inaenda kulinyakua hili kombe mwaka huu na timu hiyo ni arsenal the gunner watoto wa mjini
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nestory Bingwa, mganga tapeli aliewatapeli wasouth na kukimbilia Canada kuishi

    Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliowahi kuingia nchi hii kitambo sana, kabla hata muasisi wa taifa hili hajaachiwa huru. Baada ya...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
Back
Top Bottom