binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  2. Mifumo ya SGR na N-Card iboreshwe ili kuwezesha mtu binafsi kuuza tiketi yake aliyokwisha nunua

    Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya mfumo. Inahitaji tu App ya N-Card iwe na kipengele cha "Resell Ticket". Mtu anaingia, anauza...
  3. Binafsi hadi hii leo sijaona kinachonivutia katika umbile la mwanamke zaidi ya sura ilio nzuri. Zingatia neno "binafsi"

    Najua mtaanza na maneno ya sura hata punda anayo🤣
  4. Nineamini na viongozi wa dini nao wanastahili kuwa na walinzi binafsi!

    Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro. Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k. Kabla ya hapo...
  5. Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  6. S

    Natafuta mwalimu wa kunifundisha na kunisimamia ngazi ya chuo

    Ninasoma degree ya economics open hivo natafuta mwl wa kuni brash kwa malipo tutakayokubaliana. NIPO LINDI Simu 0688 229 455
  7. Shule binafsi tutumie walimu maroboti ili kubana matumizi

    Ni Muda Mwafaka wa Shule Zetu za Binafsi na Vyuo Binafsi Kuanza Kutumia Maroboti Kufundisha Ili Kubana Matumizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendelea kwa kasi kiteknolojia, matumizi ya maroboti na akili bandia (AI) katika sekta mbalimbali yamekuwa yakiongezeka kwa kasi. Moja ya maeneo ambayo...
  8. CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

    Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura ..... Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ??? Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ?? Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi...
  9. Kuwa mwana CHADEMA, siyo ndoa, kila mmoja anahaki, utashi na maamuzi binafsi!

    Tunashuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika kujitetea na kukaza moyo, ya kwamba waliwaita kwenye vikao bagamoyo lakini walijibiwa ngoja tumzike...
  10. S

    Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  11. PDPC: Leo ni Siku ya Mwisho ya Usajili wa hiyari kwa Wachakata Taarifa Binafsi

    Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
  12. Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  13. I

    JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU?

    🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU? Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya simu, email au anwani ya nyumbani mtandaoni. Kwa ulimwengu wa sasa ambapo taarifa zako zinaweza...
  14. Mfanyabiashara tambua bidhaa ya kwanza kabisa niwewe binafsi

    Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni. Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27...
  15. S

    Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  16. Hizi ni baadhi ya ELEMENTS za watu waliofanikiwa KIUCHUMI lakini HAWAJIONESHI. Soma hadi mwisho kisha jitathimini wewe binafsi uko wapi?

    1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao. 3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
  17. Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  18. Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
  19. S

    Enyi wawezeshaji wa mdahalo juu ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi muwaelimishe hao wachangiaji wenu vinginevyo hapo mnapoteza tu muda

    Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja janja waliozoea kukwepa kodi ndio maana karibu kila mfanyabiashara analalamikia bandari kwasababu...
  20. Nakipongeza chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti juu ya UCHAFUZI. Binafsi nitatumia uwezo wangu wote kuhakikisha nakuwa sehemu ya kuuvuruga

    Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…