binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aina za binadamu na tafasiri zake

    (1 ).Low Arch Feet Personality Traits Hii ni kwa watu ambao nyayo zao Hazina uvungu. Hizo hapo chini ndio Hali zao za maisha. low arch feet personality If you have low-arched feet with little or no arch at all, your personality traits reveal that you may realist, extroverted, outgoing...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana . Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
  3. JamiiForums Tanzania Elimu ya uumbaji binadamu bila kujamiiana

    ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING) Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa London nchini Uingereza alipata upinzani mkali baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Binadamu bado tupo kwenye mageuzi (evolution) na safari bado ni mbichi!

    Nikiitazama dunia na mwenendo wa hiki kiumbe kinachojiona kina maarifa ya ziada kushinda viumbe wengine,bado naona safari ndefu sana yenye kujifunza,ujinga,maarifa na ajali za kila namna!. Labda nianzie hapa.. Hivi tulivyo leo Kuna mambo ya mababu zetu tunayaona yalikuwa yakipuuzi ambayo kwao...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” wahimiza ushirikiano na kunufaika kwa pamoja

    Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na wachambuzi wengi wa mambo ya kiuchumi na kidiplomasia. Kutolewa kwa waraka huu, kunachukuliwa kuwa ni...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuvifunga Vituo Binfasi vya Kulelea Watoto ili kudhibiti Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Kwa mujibu wa Wizaza ya Ulinzi wa Jamii, Watoto wote wanaolelewa kwenye nyumba hizo watachukuliwa na kukabidhiwa kwa Familia na Vituo vya Kijamii vyenye mazingira salama kwao huku zoezi hilo lilitarajiwa kufanyika katika kipindi cha miaka 8. Kenya imekuwa katika mipango ya kuzifunga Nyumba...
  7. T

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja tangu zamani

    Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China Jumanne ilitoa waraka wa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China”, ukisema miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja. Kama jumuiya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa waraka kuhusu jamii ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

    Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka unaoitwa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China.” Kwa mujibu wa waraka huo, miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali wa...
  10. JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kutumika kama kuni?

    Habari. Naomba kuuliza kama binadamu anaweza waka moto na kutoa energy. Binadamu ana maji mengi, lakini kama umewahi choma tanuri utaona kwa wanatumia magogo mabichi na yanawaka vibaya mno. Binadamu anaweza waka kama gogo bichi? Ukizingatia ana mafuta ya kutosha kuchochea moto. Au inawezekana...
  11. JamiiForums Tanzania Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu. Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani. Na haileweki...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mwili wa Binadamu baada ya kufariki

    Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu kaumbwa ili kugombea penzi (utulivu siyo asili yetu)

    Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo! wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema "Like charges repell and unlike charges attract" binadam kaumbwa kugombea penzi kama ifuatavyo! mfano! Mwanamke mtilivu ikitokea kaombwa kuolewa na mtulivu mwenzake huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mnyoo wapatikana kwenye ubongo wa Binadamu huko Australia

    Mwanamke mmoja nchini Australia amekutwa na mnyoo akiwa hai, mwenye urefu wa sentimeta 8, kwenye ubongo wake wa mbele. Mnyoo huyo aina ya Ophidascaris robertsi mwenye umbo la kamba, kwa kawaida hupatikana kwenye nyoka wasio na sumu, wanaopatikana zaidi Australia, huku ikidhaniwa kuwa huenda...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu El Nino na athari zake kwa Binadamu na Mazingira

    El Nino ni mfumo wa Hali ya Hewa unaosababishwa ongezeko kubwa la Joto la Bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Hali hii huambatana na Vipindi vya Mvua kubwa vinavyoweza kusababisha mafuriko. El Niño inaweza kusababisha mabadiliko ya Hali Mbaya ya Hewa, ikiwemo...
  17. JamiiForums Tanzania Niger ni kipimo kingine cha ujinga wa binadamu

    Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi. Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa pasipokua na usawa,kuleta haki pasipokua na haki,lkn ni vema kutatmini madhara na faida ya vita...
  18. JamiiForums Tanzania Figo ya nguruwe yaonesha ufanisi katika mwili wa Binadamu

    Figo ya nguruwe ambayo ilipandikizwa katika mwili wa Binadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja, imefanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni hatua ambayo Madaktari wa upasuaji wana matumaini makubwa kwamba siku moja wataweza kutumia aina hii ya upasuaji kuokoa maisha ya Binadamu ambao ni Wagonjwa. Upasuaji huo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nikisomea Laboratory Technology katika chuo cha Arusha Technical College nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?

    Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu waomba kukutana na Rais Samia kuhusu suala la watuhumiwa wa "Uhaini" wa Mwabukusi et al

    Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana. My take: 1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…