binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

    Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana. Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja. Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Sharifu niliwafungisha ndoa jini na binadamu na wanaishi pamoja

    Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna dhambi kubwa na isiyo sameheka kama zambi ya kumwaga damu ya binadamu

    Habari ndungu zangu wana JamiiForums. Ni matumaini yangu kuwa wana JamiiForums na watanzania wote popote mlipo mtakuwa mnaomboleza kifo cha ndugu yetu Ally kibao, Taifa letu limefika mahali pabaya sana na halikufika hapa kwa bahati mbaya au kwa mda mfupi. Taifa letu limefika hapa sio kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mtihani hatari katika maisha ya binadamu

    Moja ya mtihani hatari katika maisha ya binadamu ni kufaulu KUOA / KUOLEWA na mtu sahihi. Ukifeli hapa hutaichukia hata elimu yako hata kama ni PHD. Unaweza chukia hata kwanini hupo duniani. Wengi wamejaribu kufanya masahihisho ya mtihani huu ila wanahangukia pua. Bado amani ya moyo inakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Hakuna binadamu asiyebadilika

    Duuuh siasa mchezo wa ajabu sana Namsikiliza mh msigwa hapa star TV Anaulizwa ulisema uwezi hama chadema imekuwaje Chadema sio dini Anakwambia hakuna bonadamu asiebadilkaaaa Hata Paulo alikuwa anaua watu wanaomshabikia Yesu lakini alipojielewa akaanza kutangaza neno la Mungu na kumsifu...
  6. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
  8. JamiiForums Tanzania China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  9. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mganga wa jadi apatikana na fuvu za binadamu 24 nchini Uganda

    Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi wameeleza kwa BBC. Msemaji wa polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo, Ddamulira Godfrey...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC): Wanawake Viwandani wananyanyasika kingono

    https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
  11. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

    Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini? Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa...
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu Mzee Zaidi Duniani Afariki Dunia

    Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne. "Maria Branyas ametuacha. Alikufa kama alivyotaka: usingizini, kwa amani na bila maumivu," familia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Taifa moja hapa duniani linaundwa na binadamu wa bandia

    Sitalitaja hilo Taifa lakini kila mwenye akili na mfuatiliaji wa mambo atalibaini na zaid atanielewa japo inaumiza. Bidhaa bandia siku zote hufanana na bidha halisi ila kwenye matumizi na mambo menginyo, bidhaa ya bandia hujionyresha kwani huwa zina ufanisi duni na zaid hazidumu. Ukifanya...
  15. JamiiForums Tanzania Binadamu Tunapaswa Kuwa Jamii yenye uwezo wa Kusafiri Angani, nje ya dunia

    I appreciate all of you reading this. Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na usafiri wa anga za mbali, kuna umuhimu binadamu tuweze kusafiri...
  16. JamiiForums Tanzania Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  17. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  18. JamiiForums Tanzania Zingekuwepo bado jamii(species) nyingine za binadamu zaidi ya kwetu ya Homo Sapiens dunia ingekuaje wakati huu?

    Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens, Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam. Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Tukumee kwa nguvu zote vitendo vya ulawiti kama adhabu kwa binadamu wengine kwa sababu zozote zile.

    Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…