bima

  1. Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  2. E

    Watu tunalia na vifurushi vya NHIF Mtibeli amegundua bima ya elfu 40 , naipataje wadau ?

    Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc Naipataje mnaoijua ?
  3. Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

    Kwema Wakuu! Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi. Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea...
  4. M

    Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
  5. Nyumba inauzwa Tabata Bima

    Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje hazijakamilika. Ukubwa wa Eneo: Sqm...
  6. Bei za vifurushi za bima ya afya ya NHIF vimebadilishwa. Gharama zimepanda

    Wakuu, Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake. Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu mabadiliko hayo yafanyike. Badala ya bei ya Tshs 194,000 sasa vifurushi vitaanzia 240,000 kwa watu...
  7. Nijuzeni utaratibu wa kusitisha bima ya afya kwa wanandoa

    Kama mada inavyojieleza Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima. Mchango wenu tafadhali
  8. H

    KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

    Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET. Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa...
  9. Wenye uzoefu Bima ya afya ya Vodacom

    Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
  10. KERO Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam wanachukua hela ya bima ila wanafunzi hawapati kadi ya Bima

    Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs nyigine, lakini hawatowi kadi za bima. Wanatoa tu namba ya bima. Hii imekuwa changamoto kupata...
  11. Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  12. Bima ya mkopo crdb inakuaje kuaje ?

    Habari zenu wakuu! Ninatumaini mko pouwa asee, ninashida moja juu ya ufahamu wangu juu ya Bima ya Mkopo ambao mtu akichukua mkopo Bank. Hii Bima ya mkopo imekaaje au sheria inasemaje kuhusu hilo ? Ni katika mazingira gani hiyo Bima inafanya kazi na mwombaji wa mkopo ananufaikaje na hii Bima...
  13. Waziri Jenista Mhagama: Kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya kwa kundi la watoto

    KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee. Mhe. Mhagama ameyasema...
  14. Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  15. PreGE2025 BIMA ya Afya,Toto Afya Kete Murua kwa Rais Samia 2025

    Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye kipato cha chini hiyo pindi Afya inapokuwa mgogoro huna Bima ya Afya inakuwa shida kubwa Siku za...
  16. Luigi Mangione mtuhumiwa wa mauaji ya bosi wa bima ya afya atiwa nguvuni

    Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani. kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa kumpiga risasi na kumuua CEO wa kampuni ya bima ya afya maarufu nchini Marekani Thomson Brian. Leo...
  17. Waziri Mhagama: Tanzania Inakuja na Mifumo Imara ya Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
  18. L

    Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  19. Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  20. Bima ya Afya NHIF na Hospitali ya Celian Arusha ni aibu

    Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue duka la dawa nje ya hospitali. Sasa najiuliza Bima haina dawa hizo 2 za maumivu je zimeisha ghafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…