bima

  1. JamiiForums Tanzania Sababu Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kukwama tena Bungeni

    Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu. Muswada huo ulitegemewa...
  2. JamiiForums Tanzania Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  3. JamiiForums Tanzania Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

    Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116) Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
  4. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  6. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya - Inakuwaje Mstaafu wa Serikali anufaike na Mstaafu wa sekta binafsi asinufaike?

    Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje? Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame! Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
  8. JamiiForums Tanzania Napendekeza kuanzishwa kwa bima ya makaburi

    Hoja hii naitoa kwa ufupi mno. Ni kwamba haiwezekani mtu anaacha milioni 100 kwenye akaunti benki, majumba, magari nk; halafu ukienda kwenye kaburi lake utasema ni mzoga wa mbwa umefukiwa hapo. Nimemaliza na sitaki maswali.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi gharama za kila mwanachi mwenye familia ya watu sita kuchangia 340,000. Huu ni mzigo mkubwa na ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
  12. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO: Hifadhi ya jamii ndio mwarobaini wa Bima ya afya

    HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI! Ndugu Waandishi wa Habari, A. Utangulizi: Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Manyara: Diwani kata ya Nangara agawa bima ya afya ya ICHF kwa wanafunzi

    Na John Walter Katika kutoa hamasa kwa wanafunzi wa darasa la Saba kufanya vyema katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya Msingi, Diwani wa kata ya Nangara, mjini Babati mkoani Manyara ametoa kadi za Bima za Afya (ICHF) kwa wanafunzi katika kata hiyo. Akikabidhi bima hizo Diwani wa kata ya...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Bima ya Afya haitolazimishwa wala kukamata watu

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima hiyo. Amesema lengo la serikali ni kuwapunguzia mzigo wananchi kwenye matibabu na si lazima...
  16. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote kuja na “kibano” cha upatikanaji wa baadhi ya huduma

    Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022. Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya. Inasomeka Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni bima maalumu kwa wazee 65+

    Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa. Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic maalamu za wazee ambazo zitafanya ufuatiliaji wa wagonjwa mpaka nyumbani. Hii itapunguza wazee kujaa...
  18. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote inakuja na sheria kali

    Serikali jana iliwasilisha Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) 2022 Bungeni ukitoa masharti ya lazima kwa watu kujisajili katika mipango ya bima ili kupata huduma kadhaa za kijamii. Muswada huo pia unatambulisha Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (Tira) kama mdhibiti mkuu aliyepewa jukumu...
  19. JamiiForums Tanzania Muswada wa Bima ya Afya kwa wote wasomwa Bungeni

    Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu kuanza kwa mkataba wa ajira. Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza leo, Ijumaa Septemba 23,2022...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mfumo wa Bima ya NHIF waharibika, wagonjwa wakwama hospitaini

    Wagonjwa waliopo katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na vituo vya afya Jijini Nairobi Nchini #Kenya wamekwama kwa siku mbili kutokana na mfumo wa mtandaoni wa Bima ya Afya wa NHIF kukwama kwa kugoma kupokea malipo ya mtandaoni. #NHIF wametaja sababu ya kukwama kuwa ni kutokana na mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…