bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mukumu Girls yaagizwa kulipa Sh300,000 kwa kushiriki picha ya mwanafunzi bila idhini

    Shule ya Sacred Heart Mukumu Girls imeagizwa kulipa Sh300,000 kama fidia baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka faragha ya mwanafunzi kwa kushiriki picha yake na wahusika wa nje bila idhini ya mzazi au mlezi. Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) ilisema shule hiyo ilikiuka Sheria ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kaburi bila Msalaba

    I Mumbi ahojiwa Asubuhi, Siku ya Ijumaa, jua lilitokea mapema na kufukuza baridi kali iliyopenya hata ndani ya mifupa ya mahabusu. Askari alipofungua mlango, mahabusu wote walitoka nje na kuota jua waliolingojea kwa muda mrefu. Hata na inzi nao walikuwa wanalingojea, na wao vile vile walitoka...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo hii Tz unaweza kukaa wiki 3 bila kuona jua ukitembelea baadhi ya misimu

    Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana...
  4. JamiiForums Tanzania Bila Serikali na dola kuwa wababe sisi wanyonge tutateswa sana!!

    Katika zama hizi ambazo maendeleo ya nchi yamekuwa makubwa upo umuhimu wa kuwa na Serikali au Dola lenye maguvu na makucha zaidi ...la sivyo kila aliyefanikishwa kuwa tajiri atatutawala sana kutokana na uwezo wake kifedha. Ukiwa na matajiri wenye uwezo wa kununua vyombo vya habari kutaka...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba iliyokuwa na mgogoro ikidaiwa hati imebadilishwa bila ridhaa ya wahusika yabomolewa Kikuyu Dodoma

    Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
  6. JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao Utasikia:👇 Yaani huyu utoto unamsumbua Huyu ana utoto mwingi Hajitambui Na maneno mengine mengi sana Lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka aachiwa huru bila masharti

    Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameachiwa jioni ya leo, Agosti 17, 2026 bila masharti yoyote. Akizungumza na NipasheDigital, kwa njia ya simu muda mfupi uliopita, Wakili na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, William Maduhu, amesema Madeleka ameachiwa bila masharti na kwamba hana tuhuma...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  9. JamiiForums Tanzania Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba

    IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Imani ya Chama Cha Mapinduzi imejengwa katika misingi mikuu mitatu: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. 3. Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru. AHADI ZA...
  10. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Samia anaamini wazanzibar waliungana kumpigia kura, ila haamini watanganyika waliungana kuandamana(kumkataa) bila kulipwa na mtu

    Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote. Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari wako!? Watanganyika wao ni wakurubuniwa kufanya chochote
  12. JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Sh 20,000 kwa ajili ya cheti cha kuzaliwa RITA yanahusisha nini na nini? Kwanini natoa malipo ya ziada kama ya lamination?

    Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti. Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha cheti, mhudumu alikifanyia lamination na kuniambia nilipie Sh1,000 kwa ajili ya huduma hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuhubiria watu zaidi ya 80k bila kutumia kipaza sauti?

    Niko hapa kujifunza.
  15. JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  16. JamiiForums Tanzania Hii michango ya harusi laki moja mnayoweka kwenye kadi tena bila option ya kuchagua ya size yako tutaonana wabaya aisee

    MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k Laki moja imekuwa sasa kama trend. Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu Hivi haya yootee ya nini, jamani, Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
  17. JamiiForums Tanzania Tulimpinga Nyerere bila hofu ya kutekwa~ Lumuli Alipipi Kasyupa

    Mmoja wa waasisi wa kundi mashuhuri la Wabunge 55 (G55) na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kyela, Lumuli Alipipi Kasyupa, amefunguka kuhusu ujasiri waliokuwa nao wa kumpinga Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, huku akibainisha kuwa tofauti na zama za sasa, mazingira ya kisiasa ya kipindi hicho...
  18. JamiiForums Tanzania Israel iko tayari kuishambulia Iran kivyake bila msaada wa yeyote!!!

    Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran. Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
  19. JamiiForums Tanzania Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

    Wana JF. Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi. Facts: 1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali 2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Solid Ground family wanafanya show bila CD, na sauti Yao ipo safi kabisa

    Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD, Best performance show ya Dar na ya Mwanza, labda hawazungungumziwi sana sababu nyimbo zao sio popular...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…