bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha bila ya kuingia JF

    Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
  2. JamiiForums Tanzania KERO Responded Walisema watatupa ufadhili kusoma Chuo Kikuu cha SUMAIT (Zanzibar) hadi tuhitimu, ufadhili umesitishwa kinyume na makubaliano

    Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar. Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Bila ushabiki, hebu wapange hawa wachezaji 1 hadi 3 kwa Kuzingatia ubora wao: Eto'o, Henry na Raul

    Moderator pliz edit heading
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

    Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
  5. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

    Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi. Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  7. JamiiForums Tanzania Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  9. JamiiForums Tanzania "Yani mimi, mtu bila gari, bila kazi ya maana halafu asiwe mrefu mweusi hawezi kunipeleka kwake tukaishi nae. I am not cheap!"

  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ashauriwe apunguze kutuhumu wenzie bila Ushahidi, anagharimu Chama chake kwa kucheza ngoma ya CCM bila kujijua

    Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili. Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu...
  11. JamiiForums Tanzania Audi wamezindua EV Brand China inaitwa AUDI, bila zile "rings" nne tulizozizoea!

    Hawa Wajerumani sijui wamepaniki na speed ya Mchina kwenye EV? Ili week Audi wamezundua brand specifically kwa EV uko China inaitwa AUDI, kwa herufi kubwa na bila zile rings za siku zote. Brand hii ni muungano wa Wajerumani Audi na Mchina SAIC, na kuanza wameanza na kutoa gari lao la AUDI E...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kama kuna aliyeenguliwa bila kufuata kanuni afuate utaratibu wa kawaida kujitetea

    Mimi kama mwanakijiji nataka Mwenyekiti aliyewiva katika kuzijua kanuni mbalimbali ...sitaki mwenyekiti mshari au lialia. Sasa kama unahisi umeonewa onesha weledi wa kupambana kupitia kanuni sio vurugu wala media.
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wana siku zao za kununa bila sababu

    📖Mhadhara (59)✍ Je, wajua? Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna siku anaamka amenuna bila sababu (yaani hayuko sawa kama siku zote). Kama tabia hiyo inajirudia...
  14. JamiiForums Tanzania "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mastermind Tobacco walalamika kufanya kazi muda mrefu bila kupewa ajira rasmi

    Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
  16. JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wamarekani wanawezaje kufanya uchaguzi bila purukushani za polisi?

    Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa? Japo kipindi hiki Trump anaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Waombolezaji watoa Heshima za Mwisho wa Mwigizaji Grace Mapunda (Tessa) bila kufunguliwa Jeneza

    Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa. Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa hiyo imetolewa na mdogo wa marehemu, Moses Mapunda. Baada ya taarifa hiyo, baadhi ya waombolezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Bila ushabiki, hebu wapange hawa makipa 1 hadi 5 kwa Kuzingatia ubora wao: Dida, Casillas, Buffon, Cech na Julio Cesar

    Kwa kuzingatia ubora wa makipa hawa bila ushabiki, panga kulingana na ubora wao waliowahi kuonesha kipindi wanacheza Soka kuanzia 1 hadi 5: Julio Cesar – Aliwahi kuwa bora duniani akiwa na Inter Milan, akijulikana kwa wepesi wake na uwezo wa kuokoa mipira ya mbali, lakini kiwango chake kilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

    Ni kutoka China tena. Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji. Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…