The Banking, Insurance and Finance Union (BIFU) was a British trade union.
The union was founded in 1946 as the National Union of Bank Employees (NUBE), when the Bank Officers' Guild and the Scottish Bankers' Association merged. In 1979, it was renamed the Banking, Insurance and Finance Union. In 1999, it merged with the NatWest Staff Association and the Barclays Group Staff Union to form UNIFI.By the time of its merger, the union had 113,000 members, in national and international banks, the Bank of England, insurance companies, building societies, finance houses and the Financial Services Authority. It was affiliated to the Trades Union Congress.
Mtangulizi wake ambae ni JPM alikuwa anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu.
Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia.
Kwa tunaoamini katika...
Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ...
Picha ya Marehemu Mzee Stiven Gwajima. Huyu ndiye alikuwa Mkwe wa Waziri wa Afya Dorothy Gwajima.
Mzee Stiven Gwajima alifariki dunia tarehe 30/9/2019 jijini Dar es Salaam. Mtoto wake Mwanasheria Msomi Methusela Gwajima amezungumza na #KitengeTV na kusema huyo ndio alikuwa Baba yake na Mkwe wa...
Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha.
Huyu mtu anarudisha juhudi za...
Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana
Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata...
Au niite mgongano (maana halijawa bifu 100%, ila nadhani nimeeleweka kwa huo msamiati) Mwaka jana mwishoni kumeibuka msuguano (kutoelewana) kati ya snoop dogg na Eminem.
Kumbuka hawa jamaa wamekuwa karibu kwa mda mrefu bila kusahau wanaunganishwa na Dr Dree (wote ni watu wa karibu na dree na...
Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, nazungumzia unaempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu.
Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu, Kwa sasa ana stress nyingi mno, Kaachiwa jeraha kubwa sana moyoni, hata kula ni shida, hana...
Husika na kichwa hapo juu.
Utamridhisha dada yako wako wa pekee kwa kuruhusu aolewe naye huyo jamaa ambaye ni paka na panya kati yenu au utamkatalia ili abaki bila furaha (ambayo ndio kitu unapenda awe nacho)
Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye.
NB: kumbe WCB walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA
Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta
Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
Hawa jamaa nilikua nasikia tuu kua wana bifu ambalo hakuna wa kuamua ila leo nimeamini. Cheki hii verse kutoka kwenye wimbo wa Rick Ross unaoitwa BUY BACK THE BLOCK anamwambia 50 Cent kua "nina kazi kwa ajili ya baba yako". Hii ni dharau ya kiwango cha juu sana.
It's time to clean up the...
Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja.
Je, ni kweli wasanii wa Nigeria wana UMOJA? (kwa kuangalia mfano wa Davido na Wizkid).Je, bifu zina faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.