bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali wa bidhaa za korosho (wasindikaji na wafungashaji) - Mkoani Lindi

    TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
  2. Vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato?

    Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato. Machinga wa soko hilo...
  3. SoC01 Expiry date: Kitu muhimu kwenye bidhaa kisichozingatiwa na watumiaji wengi

    Bidhaa zinazotengenezwa viwandani huwa na viambata mbalimbali ambavyo huzifanya kuwa na ubora na kudumu kwa muda ambao umekusudiwa bila kuharibika. Pindi ule muda uliokusudiwa utakapovuka, bidhaa kama vinywaji, vyakula, dawa au vipodozi na nyinginezo nyingi huwa hazifai tena kwa matumizi ya...
  4. Bidhaa adimu zaidi na Adhimu Duniani

    Habarini wapendwa wana Jf, natumai mu wazima wote na mwaendelea vyema.Nisipoteze muda wenu mwingi hebu niwajuze bidhaa adimu duniani. Katika dunia wengi wetu tunaishi na kununua bidhaa mbalimbali na nyingi tunazinunua kwa kupenda au zingine kwa kutokupenda ila zatuhitaji tununue, lakini pia zipo...
  5. K

    Bidhaa za viwandani zinapanda bei kwa kasi, mazao ya wakulima yanashuka Bei, hujuma hizi

    Mfuko wa cement unauzwa 1900 na 23000 kutoka 12000-14000 mwaka 2015, hujuma Sukari haishuki 26000 Mafuta ya kula lita tano ya Alzeti 30,000 kutoka 14000 mwaka 2015 Mafuta ya magari nayo yanakimbilia huko juu sijui Kuna Nini Vifaa vya ujenzi vimepanda zaidi ya nusu Bei kuanzia mwaka Jana...
  6. CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
  7. Nauza Banda la biashara pamoja na bidhaa

    Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo) Mali zilipo ndani Mizani Bidhaa Kreti za soda Location: Ubungo Tanesco Bei 1.65mil WhatsApp/Call...
  8. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  9. J

    TBS: Wafanyabiashara na wajasiriamali jitokezeni kuthibitisha ubora wa bidhaa mnazozalisha

    TBS: WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI JITOKEZENI KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA MNAZOZALISHA Na Mwandishi Mwanza WAFANYABIASHARA na wajasiriamali wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa...
  10. Unatazama bidhaa au kifungashio?

    Tunaponunua bidhaa, huwa tunatupa kifungashio na kubakiza bidhaa. Itakuwaje kama mtu atatupa bidhaa na kubakiza kifungashio? ...... Inawezekana hilo nalo linatokea! ...... Mwaka 2010, Rockefeller foundation walitoa document waliyoita Scenarios for the Future of Technology and International...
  11. Bidhaa 9 zinazoongoza kununuliwa zaidi mitandaoni/online. Fanya uchaguzi sahihi

    Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao kama. Mitandao ya kijamii, Application za simu, na tovuti. Huwa zina pendwa Zaidi kutokana na kuwa...
  12. Waziri Mwigulu Nchemba awaonya Wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi

    Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa risiti wanajivuta, mara wanafuta mashine vumbi, hadi anayedai risiti akate tamaa. Waziri wa Fedha...
  13. INAUZWA Jipatie bidhaa hizi kwa bei poa

    TV CHOGO NCH 21, kwa 70,000 brand phillips haina shida inafanya kazi vizuri location Ilala Bungoni Kochi hili kwa elfu 80: KIMARA DSM
  14. J

    TBS ina Maabara 9 zinazotumika kuchunguza bidhaa kisasa

    TBS INA JUMLA YA MAABARA 9 AMBAZO ZINATUMIKA KUCHUNGUZI BIDHAA KISASA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lina jumla ya maabara tisa ambazo zinatumika katika uchunguzi wa bidhaa mbalimbali ambazo ni bora na kuna vifaa vya kisasa vya uchunguzi pamoja na wataalamu waliobobea katika uchunguzi...
  15. J

    TBS wafanya zoezi la ukaguzi na kutoa elimu kwa wajasiriamali juu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

    Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi. TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
  16. Changamoto 10 zinazosababisha watu kutokuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Na nini kifanyike?

    1. Umbali Kutokana na umbali ulipo kati ya mataifa mbali mbali. Ni vigumu kupata na kuanzisha mawasiliano na wasafirishaji kwa haraka na ukaribu. Wanunuaji na wauzaji huwa mara nyingi hawapati mda wa kukutana na mawasiliano binafsi huwa sa nyingine ni vigumu. Umbali pia husababisha...
  17. C

    Bidhaa za oriflame zinapatikanaje kwa sasa nchini Tanzania?

    Habari zenu wakuu, Ninatamani kuanza kutumia bidhaa ya Oriflame inayoitwa Novage advance breakout defence emulsion. Nimeambiwa kwa sasa hazipatikani kwa kuwa Oriflame hawa-operate nchini na hizo bidhaa labda ziagizwe nje. Je, nini kilifanya Oriflame waondoke Tanzania? Kama kuna mwenye msaada...
  18. Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi. Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni. Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
  19. C

    SoC01 Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi kwa kuuza bidhaa zenye nembo ya timu

    Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi ndani ya msimu mmoja.
  20. Naulizia most trusted online shopping site ya bidhaa za Uturuki

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay. Natanguliza shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…