biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
  3. Vulmeko

    JamiiForums Tanzania Polepole - Hii kauli yako umeitoa wapi kwenye Biblia?

    Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza nyumba na kila kitu lakini biblia yabakia salama, haijaungua hata kidogo

    Wakuu, Hakika huu ni ushuhuda wa ukuu wa neno la Mungu lisiloweza kuteketezwa na chochote kamwe. Moto mkubwa umezuka katika nyumba moja iliyopo Kitongoji cha Kiurei, Kata ya Kiranyi, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha na kuteketeza mali zote zilizokuwemo, ikiwemo samani na vifaa vya umeme...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Je manabii na mitume waliosimuliwa kwenye biblia na quruan mnazoziabudu na walioziandika waliikuwa ni wasomi?

    Kwani hao manabii mnaowasoma kwenye biblia na quruan na waliotunga vitabu vya dini walikuwa wasomi kiasi gani hadi bunge liwe la wasomi? quruan na biblia ziliandikwa na wasomi hadi bunge liwe la wasomi tu? Yesu na mohamad walikuwa wasomi mbona mnawaabudu na kuwatukuza hadi leo na umbumbumbu...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Pigo zito kwa wapinzani wa Biblia: Wanaakiolojia wagundua sarafu za kale zinazothibitisha ukweli wa Biblia!

    Kuna watu wanaodai kwamba Biblia ni hadithi zilizotungwa tu ili kuwahadaa watu weusi!! Hata hivyo mara kwa mara sayansi ya akiolojia imekuwa ikifuta hoja hizo dhaifu kwa ushahidi ulio dhahiri. Hivi majuzi, wanaakiolojia wamegundua sarafu za kale mjini Yerusalemu, zenye alama na picha za kifalme...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kulingana na mstari huu wa Biblia mwanamke hapaswi kuajiriwa huku ameolewa

    Leo sitaki kugusia matendo ya uzinzi yanayofanywa na wake wa watu wakiwa kwenye safari za kikazi au wakiwa kazini. Ninataka nigusie zaidi suala la uwajibikaji ambao mwanamke anapaswa kuwa nao kwa mume wake. Msije mkasema siijui Biblia — nimesoma vyuo vya Biblia takribani vitatu, vikiwemo...
  11. hamis77

    JamiiForums Tanzania Alexander mkuu alivyotabiriwa na Biblia kwa usahihi

    Alexander III wa Makedonia maarufu kama Alexander Mkuu alizaliwa mwaka 356 K.K. mjini Pella. Alipokea mafunzo ya kijeshi na kielimu chini ya uangalizi wa baba yake, Mfalme Philip II, na pia mwanafalsafa maarufu Aristotle. Baada ya kifo cha baba yake, Alexander alirithi kiti cha enzi akiwa na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo kwenye Biblia mengine Huwa yanafuraisha

    Pia Uliza yona alitumwa ninawi alikoenda anajua yeye🤣🤣😁 shusheni comments wakuu mambo yaliyowafuraisha katika Biblia
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu BIBLIA YA ETHIOPIA yenye vitabu 88 na kwa nini vitabu vingine vilinyofolewa na wajanja.

    Yale waliyoyaona yatawapa changamoto wakayaita APOKRIFA. Ati maandishi yaliyotiwa chumvi nyingi!! Yale waliyoona hayana madhara katika kuwezesha malengo yao kutimia ndiyo wakayaacha. Twende polepole: https://youtu.be/n489bUhMXb0?si=gAXe7aU7KY-ohDWR
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waafrika ni kutokujua kuwa hata nyimbo zina mistari yenye maana kama kwenye biblia na quruan!!

    Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na matukio na wakati kila leo ni yaleyale hayabailiki. Situkeni!!
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hata nyakati za Biblia watalawa walitumia jela kuonea na kutesa watu

    Mmesahau Yohana Mbatizaji aliwekwa jela kwa kusema ukweli kisha akakatwa kichwa? Paul na Sila waliwekwa jela kwa kuhubiri injili. Msishangae yanayotokea leo kwenye taifa hili na yanamsibu Tundu Lissu
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania Una habari? Biblia ya King James ni Tafsiri iliyolindwa na Mungu kwa miaka zaidi ya 400!

    Kuna watu wanaohoji uhalali wa tafsiri ya Biblia ya King James Version (KJV). Wengine wanasema ni ya zamani, haieleweki kwa kizazi cha sasa, au kwamba kuna tafsiri mpya zilizo sahihi zaidi. Lakini je, kweli tafsiri mpya ni bora zaidi, au tuko kwenye harakati za kupunguza uzito wa Neno la Mungu...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Biblia ndiyo Kitabu kilichoandikwa kabla ya Vitabu vyote vya Kidini

    Biblia ni kitabu cha kwanza kuandikwa kabla ya vitabu vingine vyote vya kidini duniani. Sehemu ya kwanza ya Biblia — yaani Agano la Kale — iliandikwa maelfu ya miaka kabla ya vitabu au maandiko mengine ya kidini. Hii inatufundisha kuwa Biblia ndiyo chanzo cha kwanza kabisa cha ufunuo wa Mungu...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano yaliyosemwa kwenye Biblia na manabii wa Mungu yanatimia kwa sasa?

    Habari za wakati huu popote ulipo.Je yaliyosemwa kwenye biblia yanatimia kwa sasa? Katika biblia kuna ujumbe juu ya ishara na matukio mbali mbali yatakayo tokea kipindi tunaelekea wakati wa ujio wa mwana wa Adam. Biblia imetaja juu ya vita kati ya taifa na taifa,falme na falme na...
Back
Top Bottom