biashara

  1. JamiiForums Tanzania Tujifunze biashara ya msosi ni kama ubunifu wa test

    Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia. Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii coca cola. Uwezi kwenda sehemu moja kila mtu wanapika kina fanana kama hupo gerezani. Yani leo...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yakana kuuza rasilimali za misitu kwa biashara ya kaboni

    Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi. Akizungumza na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaowacheka watu waliojenga nyumba badala ya kufanya biashara

    Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa! Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  5. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku tatu nimekula hasara mara mbili, biashara zinahitaji, moyo maumivu ni makali, ila kwa nilipo toka siwezi fikiria kuacha biashara

    Juzi juma tano Kuna mama Mmoja namfaham ni mfanya biashara wa muda sana japo siku wahi Fanya nae biashara, nikataka aniuzie mtambo Mmoja, nilimuhoji akadai ni mzima na utafanya hitajo langu bila shida, nika muamini, nikampatia pesa na alinifanyia discount kidogo. Nimefika site naukagua mtambo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Songolo: Hakuna bodaboda aliyefunga bendera ya chama kwenye Kampeni bure, tuliwalipa walikuwa kwenye biashara

    Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za kibiashara. "Nilikuwa namsikia mbunge mmoja juzi anazungumza kwenye bunge, kwamba hawa watu [Bodaboda]...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukichagua biashara uwe na malengo ya kuja kutengeneza kipato kuzidi muajiriwa, ukipata chini au sawa na muajiriwa wewe ni mtumwa kuzidi muajiriwa

    Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako. Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
  10. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaofahamu mambo ya biashara au mikopo ya bajaji?

    Niaje waungwana Ikitokea mtu ana Mil 5 keshi, lakini anahitaji bajaji mpya. Akienda katika dula linalouza, au kukopesha bajaji Dar na mdhamini wake. Kisha awambie kuwa ana Mil 5, anaomba bajaji ya mkopo akaanzie kazi, halaf zitazobaki watalipana kwa mkataba wa malipo ya kila siku, hata ikibidi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Mzumbe-Morogoro anafanya Elimu kuwa Biashara

    Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Serikali Inachochea Biashara ya Ukahaba kwenye Treni za SGR

    Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba. Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside. Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto ya masoko katika biashara ya kununua madini:gemstones vs dhahabu

    CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA BIASHARA YA KUNUNUA MADINI: GEMSTONES VS DHAHABU Unapoingia kwenye biashara ya kununua madini tambua kuwa hii ni biashara kama biashara zingine, madini ni bidhaa kama bidhaa zingine unazoenda kununua na kuuza kwa wanunuzi hivo hata madini yako hivyo pia... Kamwe...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini mara mashariki mwa popote panaonekana kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, njia muhimu za biashara au vituo vya nguvu za kiuchumi?

    Kuna jambo la kijiografia ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa muda. Ukiangalia ramani ya dunia, maeneo mengi ya mashariki yanaonekana kuwa na mchanganyiko wa utajiri mkubwa wa rasilimali na migogoro mikubwa kuliko maeneo mengine.Mashariki ya Kati ina mafuta na gesi nyingi kuliko maeneo mengi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

    Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na Namibia zasaini Mikataba Minne ya Ushirikiano Kuimarisha Ulinzi, Biashara na Maendeleo ya biashara ndogo na za kati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jamhuri ya Namibia, hatua inayotarajiwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mfanya Biashara Bado Siku 10 Upigwe Penalty

    Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June. Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
  19. JamiiForums Tanzania Kama uko nje ya mji, eneo ambalo mji unajengeka, Fanya biashara ya kukodisha mbao

    Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta, Majukwaa Kwa ajili ya kujengea, Fox, Mapipa ya kuwekea maji Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu. Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara 5 ambazo haziwezi kufa milele

    1 Chakula 2 Biashara ya kufanya usafi 3 Hair and beauty 4. Kazi ya kurepea vitu vilivyo haribika 5. Biashara ya kupangisha nyumba
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…