biashara

  1. O

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma mbalimbali za printing kwa mahitaji tofauti tofauti

    Toka kwenye wazo mpaka utimilifu wa wazo kua bidhaa. Tunatoa huduma mbali mbali za uchapishaji zenye kukidhi mahitaji yako binafsi, biashara, taasisi za kidini n.k Kama kituo kinachojihusisha na huduma za uchapishaji, tunatoa huduma ya uchapaji kwa bidhaa mbalimbali. Iwe unahitaji kuchapa...
  2. JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo: ### Sekta ya Uchakataji Chakula Utengenezaji wa vyakula...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu mtaji unaohitajika ili kufanya hii biashara!

    Wasaalam ndugu na jamaa Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje? Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m? Na je ni maeneo yapi yanafaa?
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya kamba kochi(lobster)

    Wakuu kuna mtu ameniambia kuwa kuna biashara anafanya ya kuchukua kamba kochi toka Msumbiji na kuwaleta Dsm,soko lake kubwa lipo kwa wachina . Tupeana info kwa mwenye kujua zaidi hii biashara ipoje na changamoto zake, na bei ya soko ipoje!? Na je sio nyara za serikali kweli
  5. JamiiForums Tanzania Nataka niweke biashara tatu kwenye duka moja la Electronics? Naombeni ushauri!

    Habar wanajf naimani mko powa Sana Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo.. Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya electronics. Lakini ndanii nataka nichanganye niwekeee vifaaa vya simu. Pia niwekee vifaa vya umeme vile...
  6. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Polisi yadaiwa kumuua mfanya biashara Johnson Joseph mbele ya familia yake kwa kushushiwa kichapo huku akiwa amefungwa pingu

    Credit kwa WasafiTv👇🏼 https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  7. JamiiForums Tanzania Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  10. JamiiForums Tanzania Mwezi ujao naanza project maalum ya kusaka mtaji wa Tsh laki 5

    Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni. Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online Mbinu nitakazotumia 1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu. 2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuvalishia godoro lililochanika kitambaa au kure pair GOdoro lililochakaa

    Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua biashara ya kitimoto wapendwa/mtaji/na sehemu za upatikanaji kwa bei nafuu

    wapendwa Ukiacha biashara nilizonazo nimeamua kujikita kwenye biashara ya kiti moto. kwa wale wa Dar tujuzane inahitaji mtaji wa sh ngapi kuanzia. Mahali pa biashara papo fridge zipo mizani ipo Hasaa nahitaji kujua kiasi cha kuanzia hela zipo. sehemu za upatikanaji kirahisi namaanisha...
  13. JamiiForums Tanzania Developers wa Jengo la biashara Wanakaribishwa Katoro

    Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1 limekamilka). Eneo linatazama Lami hivyo developer atajenga na Kupangisha Kwa Miaka Kadhaa Kwa makubaliano...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu biashara ya stationery

    Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu. Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine. Naombeni ushauri maana nina...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara ya solar Panels nchini Tanzania

    Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels zinahitajika Nchini Tanzania(Maeneo yapi nchini) na ni kwa matumizi yapi?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Gharama mpya za Bajaj zinaumiza sana!

    Asalaam wana jamii, Mimi nafanya kazi ya bajaj, hua nanunua na kuziweka kwenye mkataba lakini mwaka moja sasa bajaj kimekua zina panda bei vibaja mno Mwaka jana nilikua nanunua kwa bei ya 8.1 Million lakini Jan-24 nilipoenda kunnunua tena bei zilipanda hadi 8.6m lakini sasa kiznauzwa 9.7m na...
  17. JamiiForums Tanzania SIMBA A.K.A MBUMBUMBU WAWAFUNGAWAARABU KOKO VIBONDE WA BIASHARA UNITED

    Siku ya Jana ilikua kombe la mbumbumbu linaendelea na klabu ya mbumbumbu simba ilifanikiwa kuwafunga waarabu Koko vibonde wa biashara unitea ikumbukwe Hawa waarabu Koko walifungwa Gori 3 bila majibu na biashara united hivyo Jana wamekutana na kipigo kutoka Kwa mbumbumbu wenzao hongereni simba...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Biashara kiganjani. Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato

    N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu. Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link << Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Biashara kiganjani, Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato,

    moved jukwaa la biashara
  20. JamiiForums Tanzania Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

    Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima. Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho. Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…