biashara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ivunje na ijengwe upya ili pawe 'Guangzhou' ya Tanzania na Afrika. Kitovu Cha biashara, uchumi na uwekezaji.

    Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo. Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA WA USHAURI WA BIASHARA BAADA YA KIFO CHA MMILIKI

    Habari wana jf Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
  4. JamiiForums Tanzania Acha pupa ya kufungua biashara nyingi ambazo utashindwa kuzisimamia

    Hakikisha biashara inayokupa kipato inakuwa imara kiasi kwamba ndo inakuwa kama utambulisho wako kwenye jamii kabla ya kufungua nyingine. Kwa mfano kwa sasa likitajwa jina na Bilionea Mulokozi moja kwa moja kinachokujia kichwani ni biashara yake ya pombe za ovyo. Akitajwa Joseph Kusaga...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuibiwa business idea / wazo la biashara ?

    mpo mnapiga story mtu anapita nayo umeenda kuomba mkopo benki wanahitaji kuiona business plan wanapita nayo umeenda kwenye kampuni kuuza wazo wanakuwahi n.k. Umeumiza kichwa kufanya uchunguzi wa soko, location nzuri ya kutega, machimbo, gharama, wateja, n.k. Ghafla unastuka kuna mwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya ufungaji wa kontena yaani container house

    Habari wana JF, Ninapenda kuwashirikisha/ kuwatangazia biashara yangu nliyojiajiri kwa muda wa miaka miwili sasa. Mimi ni mhandisi wa ujenzi nafanya design & installation ya containers mbali mbali Tanzania na nje ya nchi. Containers hizi zipo za aina mbali mbali; Steel customized containers...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ni Matangazo

    Habari wanaJF, Leo nimemaliza rasmi kazi yangu hapa Dar naelekea Moro. Mambo hayakuenda nlivyotarajia, lakini Inshallah, riziki ni ya Mwenyezi Mungu. Baada ya kuachwa na treni miezi miwili ilopita, niliamua kuwa nkiwa natoka dar, nachukua treni ya mwisho. Inanipa muda wa eventualities na...
  9. JamiiForums Tanzania Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading. Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
  10. JamiiForums Tanzania Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

    Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi. Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma. Marais wakija Tanzania waende...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya madini ya shaba

    Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
  12. JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Supplier wangu Muhindi aliekuwa na deni la Bilioni 80 kalimaliza, Nimekaa na kutafakari hawa watu wapo serious na biashara, bado tuna safari ndefu

    Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje ya nchi, Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata wazo la kufanya Biashara ya mazao ya chakula (mchele,mahindi,unga,maharage)

    Habari wana jamii Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya mazao ya chakula yaan mchele, maharage , mahindi na unga. Eneo ni Mtwara ...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaolalamika mapenzi mnazijua stress za mikopo ya biashara ?

    Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  20. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu. Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…