biashara

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara

    1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandaoni

    Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196. Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa Muhimu vya kuanzia Biashara ya ufundi simu

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Mimi ni kijana ninaetazamia kuanza biashara ya ufundi simu kuanzia tarehe 1.4.2025 Nilikua naomba kwa wazoefu mchanganuo wa vifaa pekee vya kuanzia biashara upande wa hardware na software muhimu za kuwa nazo. Itapendeza kama utaweka na bei ili niangalie...
  4. M

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUPAKA KWA AJILI YA BIASHARA

    Ni Rahisi kutumia Macro Wax, White Oil, Glycerin, Rangi na Perfume Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kutengeneza mafuta ya kupaka kwa ajili ya biashara. Mafuta haya ni mazuri kwa ngozi, yanatia unyevu, na unaweza kuyaongeza rangi na harufu ili kuyafanya yawe ya kuvutia zaidi sokoni. 🔹...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

    Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha. Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania waafrika tulaumiwe kufanikisha biashara ya utumwa

    Biashara ya utumwa imeacha makovu Africa na kuacha historia mbaya juu udhalilishaji wa utu wa mwafrika. Ukifanya tafiti utagundua ya kwamba ni waafrika wenzetu ndio waliofanikisha biashara hii kwa kuwasaidia wazungu na waarabu kupata watu baada ya waafrika kuwauza ndugu zao pia mateka wa vita...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje bidhaa moja katika eneo moja inauzwa bei tofauti, hiyo hali inamuathirije ambae anauza bei ghari na anajua mwenzake anauza bei ya chini?

    Nilienda stationary moja nikaambiwa kuchapa nakala ni shilingi elfumoja kwa kila karatasi, jirani yake kkwa kila karatasi kuchapa ni 300, je huyu anaechapa kwa shilingi elfu moja biashara yake inakuwa na hali gani,
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Hatua 4 Ninazotumia Kumwezesha Mteja Wangu Kuaga Matumizi ya Karatasi Katika Biashara Yake

    Habari wanaJF, Natumaini mmeshinda salama. Mimi niko hapa naaga ijumaa taratibu. Kwa wasabato ni siku ya maandalizi, na kwa walokole na waroma itakuwa mfungo endelevu, bila kusahau mwezi mtukufu wa wenzetu waislamu. Haya. Jana nilikuwa Dar, msanii mmoja ana biashara ya samaki. Akaniita kwa...
  9. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Kiwanja au Biashara

    Habarini wana JF poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja ningependa kwenda kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mwenye familia ya mke na mtoto mmoja nayeendelea kupambana kila kukicha katika kibarua changu chenye malipo ya kawaida. Nimekuwa napata shida...
  10. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  11. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Consultant Silwano huduma ambazo zinazoweza kutolewa kwa ukamilifu na ufanisi pasina kuja au uwepo wa mteja ofsini kwetu

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe. Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana. Lakini pia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnapowalaumu wachina kufanya biashara Tanzania, msisahau kujilaumu na nyie kwa kuzubaa katika dunia iliyochangamka!

    Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza! Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
  14. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya pikipiki na na urembo wa Pikipiki 2025

    UZI MAALUM WA KUSHARE MAWAZO YA BIASHARA YA VIFAA VYA PIKIPIKI NA UREMBO. Nipo mbeya, nna myezi minne toka nianze biashara ya VIFAA VYA PIKIPIKI nimekutana na challenges nyingi kias kua nakaribia kukata tamaa Ila kabla sijakata tamaa nimeona nirukie biashara ya UREMBO wa PIKIPIKI. ntaendelea...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dr. Badr Abdelatty, wameshiriki...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Usajili wa Biashara ya Ushauri Tanzania

    Utangulizi Urasimishaji wa biashara nchini Tanzania ni hatua muhimu kwa wajasiriamali wanaotaka kukuza shughuli zao na kuhakikisha wanaendesha biashara zao kwa mujibu wa sheria. Kwa mtaalamu wa ushauri ambaye anapata wateja wengi na mapato yanayoongezeka, kurasimisha biashara sio tu kunampa...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania walalamikiwa Zambia kwa kufungua biashara nyingi kuliko wazawa

    Hii sio habari njema sana. Watanzania wenzetu walioko Zambia hasa maeneo ya kaskazini wameanza kulalamikiwa kwa kufungua kwa wingi biashara mbalimbali hasa maduka. Wazawa wanaitupia lawama idara ya uhamiaji Zambia kwa kuruhusu uwepo wa wageni wengi hasa kutoka Tanzania wanaochukua nafasi za...
  18. Radical-1

    JamiiForums Tanzania Uvuvi na Biashara ya Sangara chini ya 50cm

    Hili jambo nimekuwa nikijiuliza na sijawahi kupata ufumbuzi.. Naombeni msaada wadau. Ni kosa kisheria kuvua, kusafirisha na kuuza sangara (Nile Perch) wa ziwa Victoria wenye urefu chini ya sentimita 50. Hii nimeitoa kwenye kanuni za uvuvi 2009. KINACHONITATIZA NI HIKI HAPA: Wavuvi wanatakiwa...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto

    Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto kadhaa, Nimefungua kampuni ikafa. Nataka nikusaidie ukianza safari yako ya kuwa na biashara au inaandaa kampuni yako hivi ni vitu muhimu kuvifanya mapema ili usirudie makosa kama ya kwangu. Changamoto...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mafuta ya kula yaliyotumika

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa hawa wauza chips, samaki n.k?msaada nitoe tongotongo. Katika kuperuzi nimeona mafuta haya hutumika...
Back
Top Bottom