biashara

  1. M

    Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  2. A

    Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  3. A

    Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  4. Hizi kazi za ualimu wa masomo ya biashara, mbona sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia?

    Wamesema vigezo ni mtu yeyote aliyesoma shahada ya Biashara lkn kwa sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia. Tunatatuaje hii changamoto wakuu?
  5. Utapeli wa wafanya Biashara wanaoagiza Bidhaa China Hasa Mwasiti na Biashara zake

    Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam. Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi kuweka mchango au malalamiko...
  6. Usisubiri hadi ustaafu ndio uanzishe biashara

    Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+) Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani. Disclaimer: Mapenzi yafutwe. Uzi tayari
  7. M

    Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
  8. Masaa 24 biashara Mbezi Louis

    Nikishuhudia uzinduzi kufanya biashara masaa yote 24 siku Saba za wiki mliopo mbezi tupeni ushuhuda hiyo biashara inafanyika masaa yote?
  9. Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

    Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside .... Habari zenu nyote?? Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ?? Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal...
  10. S

    VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  11. L

    Changamoto biashara za misimu

    Habarin wanaJF .Mimi ni mtumishi wa umma katika mkoa wa mwanza vijijini nje na ajira nimekuwa nikifanya biashara ya mpunga Kwa kukusanya nakuweka stoo ukipanda bei nakoboa nauza, ambayo ukikusanya mwezi 6 almost unakuja kuuza kwenye mwezi wa 2 next year Kwa sasa mtaji wangu nikama 10M. Ila...
  12. MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
  13. Ipi ni njia sahihi ya kufanya biashara na mwanamke?? Kumfungulia biashara yake au Biashara yako yeye ndo asimamie?

    Wana jf Nina swali kuhusu kuendesha biashara hasa unapokua umeoa!! Ni njia ipi italeta ufanisi wa biashara bila kuathiri ndoa yenu Kumpa mtaji afanye yake Kumfungulia biashara yake umuachie Kufungua biashara yeye asimamie
  14. Biashara nyingi za Tanzania ni zama za mawe. Natoa mfano wa mabucha ya nyama

    Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo. Kama unataka za dini zako zipo. Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori. Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida. Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama...
  15. KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  16. Mfanyabiashara wa library za movies pitia hapa

    Karibuni sana kwa maswali na ushauri kuhusu suala zima la uuzaji wa movies
  17. Biashara unazoweza kufanya maeneo ya uswahilini

    BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA UKIWA USWAHILINI Idadi kubwa ya watu wanaoishi uswahili hushinda nyumbani muda mwingi, shughuli zao nyingi si rasmi, wengi wanajihusisha na biashara ndogo ndogo na kazi za kipato cha kawaida. . kutokana na wingi wao, hili ni eneo ambalo unaweza kuweka biashara ukauza...
  18. P

    Biashara ya nguo

    Guys, habari, ni mgeni kwenye hii familia nimejiunga JamiiForums baada ya kuwa nasoma ideas zenye mantiki bila kuwasilisha mine, Quick discussion, Nina million 4 nataka nianzishe biashara ya kuuza nguo za kikee (kwenye frame) Naomba kujua changamoto na how to start maana Sina hata uhakika kama...
  19. G

    Anayetafta haya Madini (Mawe) aje inbox tufanye biashara. Yapo ya Kila Rangi (Dodoma Mowapwa - Mtera)

    Habari Wana jukwaa. Nina haya Mawe mengi sana kwenye Shamba langu. Yapo Rangi nyeupe kabisa, Meusi mfano Kama chuma, yapo ya Blue, na Rangi zingine. Pia eneo Lina Mawe ya chokaa kwa ambaye anahitaji kutengeneza mgodi wa chokaa. Ukichimba kidogo Kuna traces za Copper ambayo Iko Kama dhahabu...
  20. Tumia hizi 48 Laws of power katika biashara yako

    1. Never outshine your client Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma anayoipata. Tunafanya hivi kwa kutoa huduma katika mfumo wa packages ili mteja aone amepata vitu vingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…