biashara

  1. JamiiForums Tanzania Vipimo Saba vya Ufanisi wa Kimkakati katika biashara

    Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao utakuwezesha wewe mfanyabiashara mdogo uweze kufahamu kwamba kufanikiwa katika biashara sio swala la bahati...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la Biashara haramu ya binadamu na Viungo vyake kwa Tanzania na Afrika

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu. Kundi hili la...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za watoto za mtumba na huna Mtaji nafasi yako hii

    KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini. WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja. Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maharage - Tandika

    Habari za saa hizi wanachama wa jukwaa la biashara na ujasiriamali. Nataka kufanya biashara ya kuuza maharage Tandika - dabo kibini ambapo ndipo lilipo soko la vyakula. Mtaji wangu si mkubwa saaana lakini kwa hii biashara inawezekana kufanyika. Nina 1.1m. Sasa nimekunja katika jukwaa hili...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma ukurasa wa mtandao bila matangazo ya biashara

    Habari wanaJF. Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
  6. JamiiForums Tanzania Unakwama wapi katika biashara yako?

    Habari za wakati huu wajasiriapesa wenzetu; Kwanza kabisa niwashukuru sana wale ambao hunitafuta na kutumia huduma zangu za ushauri na uelekezi ni niwaambie kwamba wanachangia katika kunipa elimu na maarifa mengi huku nikitengeneza kipato kidogo cha pembeni. Nawashukuru pia kwa sababu kila mara...
  7. JamiiForums Tanzania Hatua 5 za kuanzisha biashara ya mikopo ya ukarabati wa majengo ya kupangisha mwaka 2022

    Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa. Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaofanya biashara mitandaoni watakiwa kujisajili TRA

    Baadaya ya manyunyu kutamaradi, sasa mvua inaweza kunya wakati wowote. "Watu wote wanaofanya biashara kidigitali tunawaomba mfike katika ofisi zetu kwa ajili ya usajili wa biashara hizo" "Sambamba na hilo tunaendelea kufatilia wateja wenu mnaowahudumia ili tupate taarifa sahihi za biashara...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka. Biashara ikifikia mauzo...
  10. JamiiForums Tanzania Banda zuri la biashara linauzwa

    Banda zuri linauzwa: [emoji93] Linafaa kwa biashara mbalimbali Kama nguo za kiume au za kike, viatu vya kiume au vya kike, nguo za ndani, M-PESA, nk [emoji93] Lipo Ubungo mabibo hostel kwa ndani kidogo. [emoji93] Banda ni futi sita kwa sita (6x6) [emoji93] Linabebeka kiurahisi kwa Kirikuu...
  11. JamiiForums Tanzania Coca-Cola, Pepsi na Starbucks zasitisha biashara Urusi

    Coca-Cola, Starbucks, Pepsi na McDonald's zimeungana na Kampuni nyingine kusitisha Biashara Nchini Urusi kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine. Kumekuwepo na shinikizo kutaka Biashara kuchukua hatua kama ishara ya kupinga mateso wanayopata Wananchi Kwa upande wao, Pepsi imesema itasitisha...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo 8 ya kuzingatia kwenye biashara ya utoaji wa mikopo kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za kupangisha

    Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
  13. JamiiForums Tanzania Je,unahitaji kufanya biashara ya pumba za mahindi?

    Kwa yeyote anayehitaji pumba za mahindi nicheki. location: SONGEA BEI: 1500 kwa debe. mawasiliano PM KARIBU
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza biashara ya chips

    Biashara ya chips inauzwa ipo Yombo kituo chama, sehemu ya biashara ipo barabaran kabisa, kuna kila kitu kinachohitajika kwny biashara ya chips , na kod bado ipo miezi 4 ukifika ww nikuanza kazi bei 2.7M Call +255 759 444 402
  15. V

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kufungua Biashara ya kuniongezea kipato-Arusha

    Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini Mnakaribishwa kwa ushauri
  16. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  17. JamiiForums Tanzania Simba sc vs Biashara United kilichoonwa na jicho la Mugah

    Salam kwenu wanaJf Natumai muuwazima wa afya njema kabisa na natumai Jana wengi wenu mlipata wasaa wakuangalia mechi ya Simba vs Biashara United pale kwa mkapa, kwenye hiyo mechi macho yangu yalibahatika kuona yafuatayo Simba sc Ndani ya kikosi Cha Simba sc ambae alikua mwenyeji wa mchezo...
  18. JamiiForums Tanzania Kufungua Biashara Ndogo

    Kuhusu SISI Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha...
  19. JamiiForums Tanzania Nitafute Nikufungulie Biashara

    Habari za wakati huu, Najua andiko langu linaweza kuwa na utata na kwa wale wanaopenda vya bure wakafikri sasa wamepata cha bure na kwa wale ambao huamini wakiitiwa fursa basi wao ni fursa wakajikuta wana sita kuitikia mwaliko.Hata hivyo kwa hili niko serious.Nimekualika nikufungulie biashara...
  20. JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa 100m

    Wadau wanaoamini katika ubia natafuta wazo la biashara na uwekezaji usiozid milion 100. Nina parameters zangu 1. Mwenye wazo awe shareholder wa biashara yenyewe hata kama hana mtaji wa pesa. Akili ni mtaji mkubwa 2. Biashara iwe ya uzalishaji wa product flani na sio biashara ya kununua na kuuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…