biashara

  1. INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

    Ina mwezi mmoja Lita 250 Price : 700k Kinondoni DSM 0718909429
  2. Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Sababu za tishio la kufunga biashara kwa makampuni haya sio sababu halisi kama wengi wanavyozipokea. Ukisoma statements zao, zimeandikwa kimkakati kwamba LATRA wameongeza new charges ya 15%. Seriously?!. Sio kweli kwamba Serikali imeweka kodi mpya ya 15%. Uhalisia ni kuwa LATRA wamewataka Uber...
  3. M

    Radio za kidini na Matangazo ya Biashara

    Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo? Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
  4. Majengo ya Biashara ya shirika la nyumba Tanzania(NHC)

    Habari wa JF Poleni na majukumu Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man. Asante kwa kufahamishwa...
  5. Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

    Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
  6. Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

    Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya...
  7. SOFTWARE Jipatie tovuti na mifumo ya biashara ama taasisi kwa bei poa

    Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi. Pia tunafundisha programming language za web app na Android. PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN. LARAVEL, FLASK, REACR. Kwa bei za mafunzo itategemea na unachotKa, Location mwanza , remotely tunafanya kwa uaminifu kabisa. Maswali pm ipo wazi
  8. Ukosefu wa Mbinu za Kibiashara bado ni tatizo kwa Wakulima kufikia masoko Nchini

    WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
  9. H

    Biashara ya oil na vilainishi vingine vya magari

    Kwema humu wadau poleni na majukumu mimi ni mkazi wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu nilikua naomba kujua je gharama za kuchukua vilainishi vya magari kama oils (total au Castrol), grease, cc, hydraulic na brake fluid wanauzaje kwa Bei ya jumla mfano jijini mwanza. Kama Kuna wakala wa total...
  10. Wazo La Biashara

    Habari za wakati huu wakuu; Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF WAZO LINAHUSU NINI? Wazo...
  11. M

    Fursa katika biashara ya nafaka

    Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani hasa Uganda, Sudani kusini au Burundi. Ni biashara ambayo naifatilia juujuu tu ila safari hii...
  12. E

    Biashara ya Day Care na shule za chekechea Arusha zimeshamiri kulikoni?

    Ggg
  13. R

    Nahitaji kuwasiliana na makampuni ya kuagiza hardware toka nje ya Tanzania

    Nahitaji kuwasiliana na kampuni zilizo sajiliwa na zenye ofisi Tanzania, ambazo zina uwezo na uzoefu wa kuagiza electrical, mechanical na instrumentation equipment and parts. Kampuni iwe na uwezo uzoefu wa kuagiza baada ya kupata order toka kwangu, kusafirisha, clearance, na ku deliver...
  14. Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  15. B

    Biashara ya kuchimba mawe ya gypsum

    Habari Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani Nawasilisha
  16. M

    Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
  17. Nishauri katika biashara hii nijifunze kutoka kwako

    Habari JF Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili. Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya exhibition display designer industrial / project designer(ila hiii sina hakika sana) web designer Photographer Advertising & promotions manager...
  18. H

    Ushauri wa biashara ya mtumba

    Nampango wa kuanza biashara ya kuuza mtumba (men jeans) kwa kufungua mabalo plz jeans yeyote ndugu zangu mwenye ujuzi Naomba ushauri kuhusu biashara ya hii pia naombani kwa anaejua wauzaji wa mabalo kwa Arusha
  19. L

    Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  20. Uliwahi kufanya biashara ya Ngozi ya Ng'ombe Nje ya Nchi?

    Nimeleta ombi lengu huku kwenye Jukwaa hili najua huku kuna watu wengi zaidi, hebu kama umewahi kufanya hii biashara au kama una watu unawafahamu wanafanya hii kitu tafadhali naomba details, 1. Upatikanaji 2. Bei 3. Vibali Shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…