biashara

  1. Msaada juu ya masuala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini wakubwa heshima yenu Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
  2. Msaada juu ya maswala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
  3. J

    Biashara gani inamfaa mwanachuo?

    Habari wakuu Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu katika maeneo ya jirani asimamie. Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
  4. Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
  5. L

    Bidhaa za Akili Bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 zawavutia watazamaji wengi nchini China

    Septemba Mosi, bidhaa za akili bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 ziliwavutia watazamaji wengi mjini Beijing, China.
  6. Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  7. Tatizo sio mitaji tu, hata majina ya biashara ni changamoto sana😂😂😂

    Ona hili jina la Biashara😅😅😅 na bado niingie na mama mkwe kunywa soda
  8. Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni 1. Weka Trading Plan 2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day 3. Usitegee Signals kwa mtu 4. Uwe na muda wa kutosha.
  9. Fahamu hatua za kukuza "brand" katika biashara yako

    "Branding" katika biashara ni matumizi ya jina (name), maneno (terms), alama (symbols) na mitindo (designs) kwenye kutambulisha bidhaa au huduma sokoni. "Branded Product/Service" ni bidhaa au huduma ambayo hutumia muunganiko wa jina, alama na mtindo maalum na hutambulika sokoni kwa sifa hizo...
  10. Usiufate Moyo sana hasa linapokuja swala la Biashara na Utafutaji

    Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake. Nimewahi na nitaendelea kusema unapofanya biashara au unapotaka kuanzisha biashara fata au angalia moyo wako unapenda...
  11. SoC02 Mawazo ya biashara hapa(hasa kwa wajasiliamali)

    PATA MAWAZO YA BIASHARA HAPA(HASA KWA WAJASILIAMALI). Andiko la leo, nitaongelea kuhusu biashara mbalimbali ambazo mtu mwenye mtaji uwe mkubwa au mdogo anaweza kuwekeza. Hivyo jongea katika huu ukurasa upate au uongeze maarifa juu ya biashara mbalimbali. Nitaanza kwa kuorodhesha biashara hizo...
  12. F

    Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

    Habari wadau. Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu. Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST. Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na...
  13. Msaada kuhusu biashara unahitajika haraka

    Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA? Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA? Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil...
  14. Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

    Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
  15. Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

    Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo. Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na...
  16. C

    SoC02 Imarisha biashara yako

    FAHAMU JINSI YA KUTAFUTA SOKO NA MASOKO. Utangulizi: Kuwafundisha washiriki wote kufikiri ki- masoko na kuelewa baadhi ya mbinu za masoko kitu ambacho kitawafanya waelewe maana ya maneno “soko na masoko” pia utafiti wa soko na kuyafanyia kazi katika biashara/miradi yao. Soko ni nini? Soko...
  17. Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya vifuu

    Wadau habari zenu, Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia - Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani - Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache) - Kama Kuna ubora...
  18. J

    Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

    Wakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE. Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na...
  19. Serikali wekeni tozo kwenye vifaa vya upako

    SERIKALI WEKENI TOZO KWENYE VIFAA VYA UPAKO Napenda kuishauri serikali kupitia mamlaka ya mapato tanzania kuweka tozo kwenye biashara ya vifaa vya upako inayofanyika kwenye makanisa baadhi ya kilokole,siku za karibuni kumezuka biashara yenye kuingiza mabilioni ya pesa inayofanywa na baadhi ya...
  20. SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…