Biashara ya kubani CD, nyimbo na kuingiza season

Mhina Martin

Member
Apr 3, 2017
93
134
Habari Wakuu, msaada wenye uzoefu

Nahitaji kujua hii biashara ya kubani CD, kuingiza season na nyimbo nk vinavyoendana vizuri ikoje changamoto zake, Unahitaj kuwa Na vifaa gani Na inacost bei gani na navipataje.

Share experience nasi.
 
Wakati nipo chuo nilikuwa na endesha bishara hii na baada ya chuo Ni lipata ajira ktk sekta binafisi lkn mshara ukawa unazingua kulipwa nikaamua mwenyewe kuingia mzigoni, huwa naita heshima ya 200.

Mtajii desktop kwa pindi hicho full 260,000/= mziki Sea piano silver 150,000/= mezaa 40,000/=, Mwamvuli 40,000/= ,external 500Gb 100,000/=, extension cable 15,000/= org, Card reader 2,000/=, bench 15,000/=, hapa ofisi yangu ilikuwa imekamilika kwa mtaji wa laki6 na Point, kukodie eneo kwa mwezi elf 30 na umme elf10.

Mimi nilijihusisha Sana na uzaji wa mziki kwanza mziki na upenda Sana kwa hiyo na jua kuanzia zilipendwa na mziki wa kileo kwa hiyo nilikuwa Ni kipiga play list yangu na zani unajua dundo la Sea piano watu walijikuta wakijazana kuweka nyimbo kwa wingi hususa zilipendwa ziliwashika wazee wengi Sana na Hawa wazee hawana longo longo kwenye pesa imladi tuu kila nyimbo anayotaka uwenayo wimbo 200/=.

Hapa unakuta mtu anaweka Hadi za elf10,, movie nilikuwa nazo single movie za action soft copy kwa ajili ya flash Bei kwa moja Ni 500/= unakuta mtu anaweka zaidi ya tatu unajikuta Hadi kufikia saa tano unafunga na hesabu ya faida ya 35,000/= sikunyingine za wikend Hadi 60,000/=.

Hapo kula umekula siku mbaya zakazi una funga na faida ya elf20,, na hapo nimepanga chumba Cha elf 60 kwa mwezi Umme elf10 maji ndoo 100, ikifika jioni unahamisha vifaa vyako unaweka store kwa ajili ya Kesho Kuna watu walikuwa wakinishanga kijana amesoma na kwann asitafute kazi ya heshima walishindwa tambua heshima Ni kipato kinachokidhi maisha yako na kukuacha na chochote mwisho wa mwezi.

Nyumbani walijua baada ya chuo Nitarudi kijijini lakini walishindwa elewa na survive vp Jijini Daslam jiji linalo hitaji akili, Moyo na kujitoa Kisha maisha yanalainika.

Kwa upande wangu mziki ulinilipa Sana coz ya uwezo wangu wakusoma hisia za watu (wateja),umri na jinsia zao hizi zilikuwa key point kwa wateja wangu unakuta mteja kuacha hela kuanzia elf5 kitu Cha kawaida Sanaa, hvyo sikujingiza kwenye soko la season Hadi nilipo fungua branch nyingine ambayo nili amuakuanzisha inshu za cd na season huku soko la cd Ni Kariako mtaa wa KKKT kila j3

Cha kuzingatia
Location,, ndiyo ya muhimu Sana hakikisha ofisi ipo sehemu ya changanyikeni,, watu wanatoka na kuingia

Mzigo, namanisha mteja anapokuja asikose anachotaka hii itakujengea jina na uwaminifu kwa wateja wako,,

Ufanisi wa vifaa vyako, hakikisha uwezo wa computer yako upovizuri kwa kuweza kuhudumia mteja zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja,,

Kuwa na lugha nzuri yenye ushawishi kwa wateja wako na mwenye kutimiza ahadi zako kwa kitu ambacho huna hususa movie Kesho aikute,

Cha kujifunza
Kwanza kabisa na heshimu Sanaa nguvu ya miambili (200), Pili, kunakazi zinazoweza kuonekana za hadhi ya chini lkn ukizifuatilia na kuacha mazarau na kuona watu watanionaje ukafanya kwa malengo unatoboa maisha,, tatu Kuna kazi Zina hitaji mtaji mkubwa lkn faida yake kwa siku haiwezi kufikia kazi Kama hii Kuna Uzi mmoja niliona mtu ana mtaji wa 4M Anataka biashara ya kumwingizia faida ya elf 50 kwa siku ukimshauli hii ataona Kama maigizo,,

Kikubwa pesa zipo uswazi ktk vitu vidogo vidogo Sanaa, visivyo tarajiwa Ila vinshitaji ujikane ww mwenye uweke pembeni,, Vyeti, Ubisho, Aibu, Watanionaje nk ,, ww piga kazi kikubwa pesa inaingia na Mambo yako yanakwenda mwisho wasikuu wataheshimu pesa zako wasipo heshimu kazi yako.

Furusa Ni Nyingi Sana. Tumuombe Mwenyezi Mungu atupe nguvu na akili za kuweza kuzitumia

Naomba kuwasilisha!!!
 
Ahsante Sana Mkuu Kwa mawazo Yako chanya,ntazingatia hayo Na kufanyia kazi
 
Nishachukua pale Mtaa wa Agrey last week vifaa Vyote inshaandaa itakuwa fully studio mwezi ujao ofis itaanza Kazi tuombe Dua tu
 
Back
Top Bottom