bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Red black

    Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

    kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
  2. Mshana Jr

    Kumbukizi: Hili ndio toleo la kwanza la bia ya Serengeti

    Ilikuwa bia tamu yenye ujazo wa uhakika na kilevi cha kueleweka Niliinywa kwa mara ya kwanza mwaka 1994 kwenye promotion iliyokuwa inaendeshwa na Prime time promotion pale Mwananyamala Siku ya pili nilipitia hapo bar nipate mtori niwahi job nikaagiza moja ya kushushia.. By the time namaliza...
  3. Ziroseventytwo

    Unaweza kufikiri unakunywa bia kumbe unakunywa pombe

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe. Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe. Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu. Windhok ni bia Heinken ni bia Castle lite ni bia Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri...
  4. Chibike

    Maandalizi ya Krismasi yananoga, watu wanakula bia

    Kula bia kula bia kula bia kula bia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻 Kula bia kula bia kula bia kula bia...bia tamu 😂😂😂😂😂😂😂 we hapa lounge bar tunaondoka tarehe 2 mwakani ni kula bia kula bia kula bia ..😂😂😂😂
  5. McLaren

    Aliyemnywesha tembo bia mbugani achunguzwa na mamlaka za Kenya

    Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
  6. Pdidy

    Unaagiza bia ya baridi sana alafu unakanayo nuusu saa haijaisha si bora ungeagiza ya moto

    niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias Sehemu ya kubadili finra na mawazo Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto N matumizi...
  7. tang'ana

    Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Niko na safari larger zangu hapa ,ni tamu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa. Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
  8. Yoda

    Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  9. K

    Biashara ya wifi internet router mtaani

    Habari zenu wakuu kama heading inavojieleza hapo juu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya wifi internet mtaani kwa kupitia router na kuwalipisha wateja kwa masaa Ninaomba kuuliza je kisheria iko sawa, pia kuna changamoto gan katika hii biashara Naomba kuwasilisha
  10. M

    Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Habari wakuu! Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini? Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...
  11. Knock life

    GE2025 Gambo tulikuambia Lema ni mbarikiwa Wa Mungu

    Pole Sana Gambo Karma imekupa haki yako unayostahili
  12. gambada ynwa

    Nimekunywa bia ila nimekutana na uchafu

    Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu. Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
  13. Hance Mtanashati

    Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia na kutukana

    Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia zaidi ya M+ wakati kipato chao haki reflect na kile kazi wanayofanya. Vijana wanazidi jeuri mtaani na wanajipongeza daily. NRNE. Tumia busara zako, sishinikizi. Ila kuna ulazima mkubwa wa kuitoa CCM madarakani.
  14. Munch wa Annabelle

    Duh! Bia za milioni 9!

    Nisiseme mengi.
  15. Valencia_UPV

    Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

    Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
  16. Lycaon pictus

    Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

    Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea huo ni hop ambao huzipa bia uchungu. Mmea huu upo jamii moja na mmea wa bangi lakini hauna kemikali...
  17. U

    Happy birthday bia ya safari lager leo umetimiza miaka 48 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel...
  18. Yoda

    Kuna bia za kike na za kiume?

    Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa? Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
  19. Ben Zen Tarot

    kiwanda cha bia TBL kuna tatizo gani?

    bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana? uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
  20. chiembe

    Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

    Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
Back
Top Bottom