Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,126
- 11,364
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imezidi kuimarika Tanzania ikitajwa kushika number 6 barani africa. Pamoja na mafanikio yanayoweza kupatikana kwa uwekezaji na kodi , biashara hii inatakiwa kufanywa kwa tadhari na udhibiti. Kikawaida michezo hii haipaswi kuchezwa na watoto under 18 lakini watoto chini ya huo umri wanafikiwa na matangazo ya betting 1. Katika redio , 2. Katika TV, , 3. Mitandaoni 4. Mabango ya barabarani , n.k matanagzo haya yanatakiwa kupitia upya maana hata ile kuhamasisha beti kwa kiasi haiwekwi wazi au huwa maandishi madogo sana.
Nini kifanyike?
1. Kuwe na muda maalumu wa matangazo ya betting kwamfano katika media za kawaida yaanze kusikika usiku
2. Matangazo ya barabarani yaanze kuonekana usiku
3. Matangazo ya mtandaoni na campaing zote zianze kuonekana usiku
4. Waangalie uwezekano wa umri wa kuruhusiwa kubashiri angalau uwe miaka 23 na sio 18
5. Uhamasishaji wa kubeti kwa kiasi uwekwe wazi katika matangazo ya aina zote.
Kila la kheri ,, hii nikwajaili ya kujenga jamii yenye ustawi. Too much anything is harmful