bei za mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bei za mafuta Zapanda tena

    Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha. Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali. Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta...
  2. Bei ya Mafuta na Mfumuko wa bei, tumejipangaje?

    Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
  3. Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  4. Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…