Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu.
Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na...
Hali ya upatikanaji wa nishati duniani imekuwa ikitabiliwa kuwa hatarini baada ya kuanza mgogoro wa Iran, lakini hatua iliyochukuliwa leo na Saudi Arabia inaweza kuharakisha zaidi hali haliyo, hii ni kufuatia shambulio la ndege zisizo na rubani (drones) lililosababisha kusimama kwa shughuli...
Bei za mafuta ya petroli na dizeli zitakazotumika Oktoba mwaka huu nchini zimeendelea kupungua kwa kiwango tofauti ikilinganishwa na zilizokuwepo mwezi uliotangulia, huku upande wa mafuta ya taa ukiendelea kusalia vilevile.
Bei hizi zinapungua nchini wakati ambao kumekuwa na ongezeko katika...
Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura).
Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
KUMB: PPR/2024-11/01
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 6 NOVEMBA 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 6...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei za Mafuta kwa Mwezi Oktoba, 2024.
Pia, soma: Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa
NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh. 200,727) hadi $77.52 (Tsh. 202,714) kwa Pipa.
Hali hiyo imesababisha Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) na...
1. Nani anataka vita mashariki ya kati?
2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku.
3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati?
4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi?
5...
Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo:
(i) Petroli – bei ya soko la...
Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta.
Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022.
Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo.
Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster.
Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa.
Najua unaendelea vizuri hapo ulaya.
Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue.
Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
beibei juu
bei mpya
bei ya mafutabeizamafuta
ewura
hizi
kadhia
kibajaji
kutumika
macho
mafuta
mei
mpya
parking
petroli
picha
tuungane
updates
wahuni
yaipiku
yangu
Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani?
Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa Drc congo wana vita na waasi miaka 25 sasa , tunahitaji maombi maalumu nchii hii hali tete sana
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
Wasalaam,
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na ongezeko la gharama za maisha kutokana na mfumuko wa bei ambapo kuenda sawa na hali hiyo, mishahara hupaswa kuongezwa ili kuwafanya watumishi wasipoteze nguvu ya kununua.
Mishahara ya watumishi wa serikali haijapanda kwa muda wa miaka kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.