bbc

  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamishna Mkuu Haki za Binadamu UN ataka uchunguzi mauaji ya Uchaguzi Tanzania, Lissu na wengine waliokamatwa kuachiliwa

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika muktadha wa uchaguzi wa Oktoba 29. Hii inafuatia taarifa zinazoeleza kuwa miili ya watu waliouawa...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye BBC Verify wamethibitisha ukatili uliofanywa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wake kupitia teknolojia ya hali ya juu ya Geolocation

    BBC News official channel yao wamepost leo kwamba clips zilizopo mtandaoni ni za kweli na ukatili (uhaini) dhidi ya watanzania ulifanyika. Video iliyorekodiwa nchini Tanzania imeibuka ikionyesha vitendo vya ukatili vilivyofanywa na polisi walipojaribu kukandamiza maandamano makubwa mwezi...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BBC: How Tanzania police crushed election protests with lethal force

    A crowd runs in panic along a dusty street. Shots ring out. A woman wearing a purple jacket carrying a stick falls to the ground. Another woman can be heard pleading, "Mama, mama, stand," as she tries to lift her. Blood is spreading around her stomach as another stain appears on her back. This...
  4. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BBC - Tanzania Genocide special Report, video zikionesha polisi wakiua raia Mwanza, DSM, Arusha na kwingineko ni halisi na zimethibitishwa kitaalamu

    https://youtu.be/QwY9OsUGVY0?si=P-Q3GDkwdHg6GDe3 👉🏻Idhaa ya Kiswahili ya BBC imefanya uchunguzi wake wa awali na kuthibitisha pasipo shaka kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania polisi viliua waandamanaji siku ya uchaguzi tarehe 29/10 na siku zingine zilizofuata 👉🏻Video zikionesha mauaji hayo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 BBC Swahili: Wahudumu wa afya ikiwemo madaktari wameeleza kuna magari yamekuwa yakichukua miili na kuipeleka kusikojulikana

    Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana. === Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
  6. JamiiForums Tanzania Inside Kenya's Gen Z protest movement | Global Eye - BBC World Service - A Must Watch...

    Kuna hii Video kutoka BBC Eye inaonyesha jinsi maandamano ya Gen Z Occupy Parliament na jinsi gani waliohusika kufanya mauaji na kuonyesha kulikuwa hakuna sababu ya kufanya mauaji hayo..... Very Sad Indeed https://youtu.be/_q3VkWny8J0?si=LlSur0k_kEMWBYhU
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hawa BBC wana agenda gani sijui

    Na Shangazwa sana na Hawa hawasomi kitabu chao kinachopinga ushoga ?? kicha vipi wanaruhusiwa kuingia kanisani? hali yakuwa hukumu yao kwenye bibilia ni hii 2. Walawi 20:13 Mtu akilala na mwanamume kama vile alalavyo na mwanamke, wote wawili...
  8. JamiiForums Tanzania BBC Africa: Tanzania abductions.

    https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa. Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi. Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika. Licha ya...
  9. JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Journalist (Digital Video Producer) at BBC August 2025

    Job Requisition ID: 25996 Job Closing Date: 17/08/2025 JOB DETAILS JOB TITLE: Journalist- (Digital Video Producer) JOB BAND: C CONTRACT TYPE: Permanent, Full-time DEPARTMENT: BBC News LOCATION: Dar Es Salam, Tanzania. Onsite Any offer of employment with the BBC will be conditional...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia

    Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye. Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England. BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
  12. JamiiForums Tanzania Nimesikitika lakini sijakata tamaa na Putin, Trump aiambia BBC

    Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC. Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini kiongozi huyo wa Urusi, na akajibu: "Sina imani na mtu yeyote." Trump alikuwa akizungumza saa chache...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanakandarasi wa misaada Gaza aambia BBC aliona wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina

    Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC Swahili news Stella Agara juu ya Ruto

    Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine zimeshindika kupitia Bunge na Senate, mpaka kazungumzia Mungu kuingilia kati. Na kwamba fujo zina...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI BBC wachapisha taarifa 'wafahamu wanaharakati maarufu kwa kuchochea machafuko nchini mwao

  16. JamiiForums Tanzania BBC ilivyotaka kuuziba ukweli wa Mambo huko Gaza!!!

    Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iiangalie BBC Swahili via Star tv

    Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa. Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo...
  18. JamiiForums Tanzania BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti ya BBC iliyofichua mauaji gen-z kipindi cha maandamano, waandishi wa habari 4 hawajulikani walipo mpaka sasa

    Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE. Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan authorities block screening of ‘Blood Parliament’ documentary: BBC

    Kenyan authorities block screening of ‘Blood Parliament’ documentary: BBC By Dennis Musau Published on: April 29, 2025 08:17 (EAT) A Kenyan Police officer fires a tear gas canister towards protesters during a demonstration against tax hikes as members of the Parliament vote the Finance Bill...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…