Walidanganya watu kwa kupitia watangazaji wao maarufu, walitangaza kwamba kuna sehemu watu wanavuna Tambi,
Walielezea kwa kina kilimo cha Tambi kiasi kwamba ma milioni ya wasikilizaji wakaanza kupiga simu kuulizia jinsi ya kupanda tambi nyumbani kwao.
Hii inaonyesha jinsi ambavyo watu...
Dkt. Marandi wa Iran alisema "BBC ni mbaya sana, mbaya sana."
Mmoja wa waandishi wao wa habari alidai Wairani wanataka silaha za nyuklia zitumike dhidi yao.
Waandishi wa bbc swahili hawapati kumuuliza maswali trump?
Karibu mwezi sasa wanaandika habari za Trump
1. Ndani ya siku 1 wataingamiza Iran
2. Ndani ya siku 10, mara wiki 2, mara siku 5, mara siku 30
Yaani ukisoma page yao ukiamka ndio habari hizo tu.
Jee hawapati ya kumuuliza maswali?
Huyo...
Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake.
Maelezo kuhusu taarifa
Onyo: Taarifa hii ina maelezo ya vurugu iliyokithiri na marejeleo ya kujiua...
Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW
Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli?
Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai...
Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.
Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?
"When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti.
Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10.
Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama iliyoonyesha kauli zake za Januari 6, 2021 kwa namna iliyohaririwa vibaya, na kufanya ionekane kama...
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?
Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.