barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

    Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania. Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuandika barua

    Habari za mchana wakubwa, Naomba kama kuna mtu ambae amesha Wahi kupata changamoto kama niliyo kutana nayo mimi anisaidie, kwa kifupi ni kwamba mimi Niko nchii jirani ya Zambia. Sasa kuna mdogo wangu alitaka kuja kunitembelea Baada ya kukamilisha taratibu zote za kupata hati ya kusafiria...
  3. JamiiForums Tanzania Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

    Wanakumbi. Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM...
  4. JamiiForums Tanzania Nipo Tandahimba, naona walimu wamekusanyika kwa Mtendaji Kata wanarudisha barua za kusimamia uchaguzi

    Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra. Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI LHRC yaandika barua kumtaka Maria Sarungi aache kuchochoe fujo mtandaoni

    Wakuu hii taarifa ni ya kweli imetolewa na LHRC?
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazima kwa waziri wa fedha Mh Mwigulu

    Mh Waziri. Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua. Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango. Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Marekani imeonya. Nchi za Ulaya zinaonya. DUA-Africa inaonya. IDU-The International Democracy Union ilionya. Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini. Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
  8. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Nitapeleka barua rasmi Simba kuwaomba wadhaminiwe na GSM ili wasipoteze dira

    Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0. Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

    Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa. Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
  12. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mliandika barua hamtashiriki mchezo wowote tofauti na june 15 haya tuone kama june 25 hamtaleta timu.Msimamo upo Yanga pekee

  14. JamiiForums Tanzania Barua Wazi ya Mwanafunzi kwa Walimu Wake Wawili. 1 ni kwa Dean wake, na 2. TA wa Kipindi chake c Kwanza. Please Watendeni Watanzania Haki Hii!.

    Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events! 1. Utangulizi Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
  15. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
  16. JamiiForums Tanzania Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

    "Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"-...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka Enzi ya simu za kuomba kwa operator na Barua Bila Stamp!

    Habari Wana JF,Miaka ya nyuma huko1960.......1990,Tuliokuwepo, unaenda posta unakoroga simu kwa operator,anskuitikia unataka namba baadae anakuunganisha unaongea na kutumbukiza hela ya muda wa Maongezi . Kama huna hela unasema reverse call,akikubali unayempigia kwamba itaingia kwenye bill...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

    Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…