baridi

Baridi (Persian: بريدي‎, also Romanized as Barīdī) is a village in Surak Rural District, Lirdaf District, Jask County, Hormozgan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 40, in 10 families.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    Ushamba: Inakuwaje Azam anashindwa kuonyesha mashindano ya Olimpiki ya majira ya baridi yanayoendelea kule Italy

    Hadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa buguruni bado sana Wako busy na simba na Yanga kila siku na vitu muhimu wanashindwa USSR
  2. D

    Ushaaamua kuwa wa moto Mama, acha tena kurudi kwenye baridi

    Hamna haja ya kuwa vuguvugu Mimi ni mtu wa bara lakini nakusapoti harakati zako. Toa Mwigulu WEKA MZANZIBAR Toa Padre IMMA WEKA MZENJI Hakikisha unaisuka timu yako ambayo itabadlisha Katiba isiwe na ukomo wa kugombea, kama unahitaji tena unagombea isiwe ukomo miaka 10, nguvu hiyo unayo maana...
  3. K

    Tanzania ina vita baridi wapenda demokrasia vs wana mtandao wa CCM

    Wakati nchi nyingine wananchi wanapigania uchumi Tanzania tumeingia kwenye janga la kupigania HAKI . Wapigania haki wamepata nguvu sana na haitaisha wanapigana na machawa na wana mitandao ambao wanataka rasilimali za nchi. Raisi Samia , Kikwete na genge la machawa wa CCM lipo upande huo...
  4. Pdidy

    Unaagiza bia ya baridi sana alafu unakanayo nuusu saa haijaisha si bora ungeagiza ya moto

    niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias Sehemu ya kubadili finra na mawazo Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto N matumizi...
  5. 1Africa54

    Propaganda ya vita baridi: kwa nini kgb ilituhumu marekani kuunda na kusambaza VVU

    Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika mazingira haya ya mashaka na ushindani wa kimataifa, kila upande ulitumia mbinu mbalimbali za...
  6. Jidu La Mabambasi

    Kwa baridi hii Dar, ni kiwinter!

    Wandugu asiye na mwana sasa hivi Dar, basi ajibandike blanketi, chapa mtu! Baridi hii si poa kabisa,
  7. Busu la Kenge

    Lesotho usiku huu baridi Kali sub zero

    Lesotho usiku huu utadhani Urusi wakati wa winter. Temperature zimeshuka hadi -4°C Johannesburg 8° C, Cape town 13° C, Harare 14°C, Gaborone 9°C Dar es salam 24°C Arusha 17° C, Njombe 9°C, Majinga 13°C https://youtube.com/shorts/zOagRFdGUsA?si=iDT6m21Z3CuZ71aQ
  8. M

    Ugonjwa wa ndigana baridi (anaplasmosis) kwa ng'ombe

    --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Ugonjwa wa Anaplasmosis (Ndigana Baridi) kwa Ng’ombe --- 🔍 Utangulizi: Anaplasmosis ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vinavyoenezwa na kupe. Husababisha homa, upungufu wa damu, udhaifu na unaweza kusababisha vifo ikiwa haitatibiwa kwa wakati. --- 🦠...
  9. A

    Mkoa wa KIigoma ni wilaya gani yenye baridi kwa mwaka mzima

    Wenyeji wa KIGOMA naombeni kufahamishwa maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi kwa mwaka mzima Ili nikaishi huko Lengo langu ni kuwekeza kwenye kilimo kuanzia heka 100 na zaidi,eneo liwe Lina ardhi yenye rutuba kwa kilimo Cha parachichi,ufugaji n k Pia maeneo yanayouzwa mashamba na sifa zake za...
  10. Leejay49

    Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

    Wakuu habari ya leo,. (Chit-chats and jokes) Leo em mniambie kwanza Kuna uhusiano gani kati ya hali ya hewa (baridi) na kula sana. kipindi cha baridi nakuwa njaa mda wote,. Yaani nakula kama kiwavi😌 Mfano leo,. Wakati natoka nyumbani nlikunywa uji mandazi mawili nikachukua na maziwa mtindi na...
  11. Just Pray

    TMA yatoa utabiri msimu wa kipupwe 2025, yatahadharisha baridi na upepo mkali

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kipindi cha msimu wa kipupwe unaotarajia kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, ambapo Kutakuwa na upepo wa wastani utakaovuma kutoka Kusini Mashariki kwa maeneo mengi ya Nchi pamoja na vipindi vichache vya...
  12. DELETED ACCOUNT

    Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  13. Luis 505

    Maji baridi sana (barafu ngumu) hayaui vijidudu vya magonjwa kama Typhoid. Is this true??

    Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha ukayaacha maji hayo kuyeyuka na kuwa liquid, bado yanakuwa si salama kwa kunywa kama ambavyo yangechemshwa...
  14. R

    Mnaopenda vinywaji baridi, mnadili vipi na Tonsils za kwenye koo

    Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
  15. Davidmmarista

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
  16. Fateema

    Ni kweli mtoto wa kiume anatakiwa kutahiriwa wakati wa baridi?

    Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli? Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi). Asante sana
  17. P

    Salaam kutoka kwa Trump: Kwa baridi hili nitafutieni wa kunanii

    Yaani huku ni baridi sana na watoto wa huku mambo mengi. Imagine saa hizi ngoma inagonga negative degrees, yaani muhuni najiboost kwa bacardi tu. Hebu nipeni mama.
  18. Magical power

    Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi.

    Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀 Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
  19. Roboti Wa Nape

    Hii baridi la Kilolo sio ya Mchezo

    Leo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa. Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani. Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni...
  20. S

    Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
Back
Top Bottom