Barcelona 1 - 2 PSG kuna watu wanasema goli la pili ni offside

Barcelona 1 - 2 PSG kuna watu wanasema goli la pili ni offside

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,662
Reaction score
3,017
Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
 
Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
Hao wanaolalamika labda hawaijui Sheria ya offside.

Endapo utakua mbele ya mchezaji wa mwisho wa timu pinzani, ili uwe onside unatakiwa uwe nyuma ya mpira.

Mfungaji wa bao G. Ramos alikua nyuma ya mpira hivyo kuiua offside na kua bao halali.
 
Back
Top Bottom