baraza

Violet Awindi Barasa (June 21, 1975, Sikhendu village, Bungoma District, Kenya – February 12, 2007, Webuye) was a volleyball player from Kenya. Her surname is sometimes spelled as Baraza.
She was a long-time captain for the Kenyan women's national volleyball team. Baraza represented Kenya in the 2000 and 2004 Olympic Games, three times in the World Championship and in numerous continental events.She was one of the few Kenyan players to play professional volleyball abroad, for Al Ahly in Egypt, Vileo and Unic-Romania in Romania, Panellinios in Greece and Dicle University in Turkey.She died in February 2007 at the Webuye District Hospital of undisclosed causes. At the time of her death, she was still an active player with the Kenya Commercial Bank volleyball club, although she had been dropped from the national team.

View More On Wikipedia.org
  1. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Baraza la Eid -Nyerere Convention Centre

    Baraza kuu la Idd litafanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Nyerere Convention Centre, Posta. Kuanzia Saa 8 mchana. Eid Mubarak.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Mbogwe na DAS Arusha watoa utetezi mbele ya Baraza la Maadili

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tarehe 28 Machi, 2025 imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita Mhe. Sakina Jumanne Mohamed na aliyekua Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Jacob Julius Rombo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. Kikao cha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

    Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mchome kuhusu ubatili wa Baraza na Maamuzi yake ni dhaifu

    Hoja za Mchome wa Chama kupinga maamuzi ya Baraza, Kamati Kuu na maamuzi yake siyo hoja inayoweza kutikisa chadema kwa vile hata anayoyalalamikia kama ni kweli yanaweza kurekebishwa kwa kuitisha kikao kingine na kufanya maamuzi ya kubariki uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na kisha kubariki...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nalishangaa Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT)

    Ni mwaka sasa, tangu Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT) lianze kusimamia mafunzo ya interns na hatimae kusajiri wataalamu wa lishe hospitalini (Clinical Nutritionist). Nalishangaa sana kwa kutofanya mambo yafuatayo. 1. Kuanza kwa kusajiri interns badala ya kuanza kwa kutambua na kuwasajiri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC): Wahitimu wanaosubiri Leseni wawe watulivu, tupo kwenye mchakato

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo. Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC)...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Kombo kushiriki kikao cha 46 cha baraza la mawaziri AU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha 46 cha Baraza la Mawaziri la Umoja wa Afrika (AU) kinachofanyika tarehe...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

    Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa, Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF yazindua Baraza la Wafanyakazi Kidijitali Lengo ni kupunguza gharama

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira. Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  13. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

    Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe ofisi ya mshauri Mkuu wa Taifa ambaye atawajibika kwa Baraza la Mawaziri.

    Kwako Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano. Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ntobi: Baraza kuu la CHADEMA lakubaliana na maamuzi ya kamati kuu

    Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi. Demokrasia inazidi kushamiri ndani ya Chama chetu. Je, kuna swali? Anaandika Ntobi
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

    Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa yao hii hapa Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Monsinyo Gilbert Ndyamukama ateuliwa na Papa Francis kuwa Mratibu wa Kitengo cha Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

    Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana. Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa Mratibu ndani ya Kitengo cha Kwanza cha Uinjilishaji na Makanisa Maalum cha Baraza la Kipapa la...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Abdul Nondo akiwa kwenye mkutano wa Baraza La Vijana la CHADEMA (BAVICHA)

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema: “Sisi vijana wa vyama...
  19. mkuruga

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa Baraza la vijana anayemuunga mkono lissu ajitoa kwenye kinyanganyiro uamuZi huo ameufanya ktk mdahalo uliokuwa unaendeshwa na Odemba

    Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
Back
Top Bottom