barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wana ndoa wengi wanajiongelesha wenyewe barabarani shida ni nini?

    Umeshawahi kujiuliza Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa Nawaza nini shida kwenye ndoa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    JF Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM Muwe na jioni njema
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takwimu na hatua dhidi ya ajali za barabarani

    Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
  4. JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  5. JamiiForums Tanzania Tuwe makini barabarani

    Wakuu ambao bado mpo macho mpaka muda huu nawasalimu, poleni na majukumu. Kama kichwa habari kinavyojieleza, ni rai natoa Kwa madereva wote wa magari binafsi,magari ya abiria,bajaji na pikipiki. Tuwe makini, tuache papara, tufate taratibu na Sheria za barabarani, hasa bodaboda na bajaji muwe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Malori ya kampuni za Mt. Meru Depot, HASS, Afroil na W. Oil T2 yamekuwa yakipaki barabarani eneo la Kigamboni yakisubiri kupakia mafuta

    Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika. Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
  7. JamiiForums Tanzania Mlioko Dar Es Salaam, ety plate number za gari zinazoanza na F zishaanza kuingia barabarani?

    Kama ni kweli weka picha ya ndinga tuone.
  8. JamiiForums Tanzania Kizungumkuti barabarani! Ving'ora vitatu

    Tukio kama hili ni nadra sana kutokea Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua Kuna king'ora cha zimamoto Kuna king'ora cha ambulance Mwananchi hakuwahi kupata matokeo ya alichokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tujenge njia nne (mbili kila upande) kupunguza ajari za barabarani Tanzania

    Barabara zetu Tanzania ni nyembamba hivyo kuleta kusababisha ajari nyingi sana. Ushauri: Barabara kuu zote zijengwe njia 4 [ mbili upande huu na mbili upande ule ]. Hii itasaidia sana kupunguza Ajari na kundoa foleni zisizo za lazima.
  10. JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  11. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Epuka kutumia simu ukiwa Barabarani

    Wasalaam, Wajumbe bila shaka mpo salama. Ni muda mrefu sijaandika chochote hapa kijiweni. Leo nataka kurudia tu kile ambacho mara nyingi kimekuwa kikisisitizwa juu ya matumizi ya simu kwa madereva wakiwa wanaendesha. Vijana wengi sasa wanamiliki magari kwa kuwa imekuwa nafuu kumiliki gari...
  12. JamiiForums Tanzania Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services!

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services! Kuna wakati mwingine tunatoka safari ndefu au hata safari za kila siku, halafu ghafla gari linakataa kuwaka au linazima katikati ya barabara. Unapofungua bonnet au kufika...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza ajali za barabarani?

    Wakuu ===== Ajali zimekuwa nyingi Kila siku tunaamka na ajali tunakwama wapy? Je, ajali za barabarani nchini Tanzania zinaendelea kutokea kwa sababu hatujui nini cha kufanya, au kwa sababu tunachukulia usalama barabarani kama jambo la kawaida? Kwa nini madereva wanaorudia makosa hatari...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    Awamu ya sita imekuwa vurugu mechi; Ile dhana ya utawala bora Haionekani hata kwenye mambo madogomadogo kama haya! Hivi inawezekanaje Barabara zote zijengwe kwa mpigo pasipo mpangilio? Yaani Unawezaje kufumua; KILWA ROAD, NYERERE ROAD, MANDERA ROAD, MOROGORO ROAD, MWAIKIBAKI, BAGAMOYO ROAD n.k...
  15. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli tumeshindwa kifunga security cameras badala yake tumejaza mituta barabarani!?

    Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa. Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia uharibifu wa gari lkn pia husababisha kero sana kwa watumiaji wa barabara. Hivi kwa technology hii...
  17. JamiiForums Tanzania Kukabiliana na ajali za barabarani mifumo lazima isomane

    Moyo unauma kushuhudia idadi kubwa ya watu wanaumia na hata kukatisha uhai wao kwaajili ya ajali za barabarani. Inaonekana kama vile tumeshindwa kupambana nazo. Wadau wakubwa wa ajali hizi ni madereva, wenye magari, traffic Police, watengeneza barabara, wasimamizi wa usafiri, shule za udereva...
  18. JamiiForums Tanzania Yale Mabango ya Barabarani Mama ametimiza mwaka huu mbona hayapo?

    Wakuu ! Nawasalimu kwa jina la JamiiForums, Where we dare to talk openly Kama kichwa cha huu uzi kinavyonieleza hapo juu. Kumbe hawa Watendaji wa Serikali huwa wanaelewa sana yale maneno ambayo huwa yanazungumzwa na Viongozi wa Chadema majukwaani (Tundu Lissu na John Heche). Hawa jamaa...
  19. JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  20. JamiiForums Tanzania Madereva wa Mabasi wako Juu ya sheria za Barabarani?

    Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka hazina habari kabisa na uvunjifu wa sheria unaofanywa na mabus, Wao kila muda ni kuwahi tu wanaendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…