barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  2. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gari anayotumia mtoto wa Mwigulu ndiyo inayonifanya tarehe 29/10 nikafie barabarani kwenye maandamano

    Kitoto kina miaka 12 lkn kinasukumwa kwenye ndinga ya milioni 500 kina dereva na mlinzi pembeni. Kodi zetu zinatapanywa kwa maslahi ya wachache. Shubamiti!!! Potelea pwete, kifo kiliumbwa. Nisipokufa kwenye maandamano nitakaifa kwa ajali ama nitakufa usingizini. Tarehe 29 0ctober tutakinukisha!
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  6. M

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
  7. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania Oktoba 29 tutokeni kwa wingi lakini sio kutiki

    Ule muda wa ukombozi nadhzani ushafika hakuna nafasi tutaipata ya kuikomboa Tanzania kama hii huu ndo ule muda wa kuwakabia kwa juu nb. Kama huwezi kufanya pressing usije road bora ulale
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Aahidi kuweka taa za barabarani 2300 Tabora kufanikisha vijana kufanya biashara masaa 24

    "Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu

    Namaanisha sheria za Barabarani, Leo walitaka kunilaza ndani. Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata. Barabara ya Dar - Moshi. Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wana ndoa wengi wanajiongelesha wenyewe barabarani shida ni nini?

    Umeshawahi kujiuliza Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa Nawaza nini shida kwenye ndoa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    JF Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM Muwe na jioni njema
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takwimu na hatua dhidi ya ajali za barabarani

    Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
  14. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  15. Lighton

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini barabarani

    Wakuu ambao bado mpo macho mpaka muda huu nawasalimu, poleni na majukumu. Kama kichwa habari kinavyojieleza, ni rai natoa Kwa madereva wote wa magari binafsi,magari ya abiria,bajaji na pikipiki. Tuwe makini, tuache papara, tufate taratibu na Sheria za barabarani, hasa bodaboda na bajaji muwe...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Malori ya kampuni za Mt. Meru Depot, HASS, Afroil na W. Oil T2 yamekuwa yakipaki barabarani eneo la Kigamboni yakisubiri kupakia mafuta

    Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika. Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
  17. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar Es Salaam, ety plate number za gari zinazoanza na F zishaanza kuingia barabarani?

    Kama ni kweli weka picha ya ndinga tuone.
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti barabarani! Ving'ora vitatu

    Tukio kama hili ni nadra sana kutokea Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua Kuna king'ora cha zimamoto Kuna king'ora cha ambulance Mwananchi hakuwahi kupata matokeo ya alichokuwa...
  19. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Tujenge njia nne (mbili kila upande) kupunguza ajari za barabarani Tanzania

    Barabara zetu Tanzania ni nyembamba hivyo kuleta kusababisha ajari nyingi sana. Ushauri: Barabara kuu zote zijengwe njia 4 [ mbili upande huu na mbili upande ule ]. Hii itasaidia sana kupunguza Ajari na kundoa foleni zisizo za lazima.
  20. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
Back
Top Bottom