barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mchinga 2 hadi Kijiji cha Ruvu Mkoani Lindi ni mbovu mno

    Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana. Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka TUKUYU kwenda SONGWE inaingiza mapato ya kutosha kwa serikalini, ila mbovu sana

    Magari wakati wa mvua mara nyingi yanakwam Upimaji kiwango cha lami sijui wanapima mara ngapi ila wapimaji mara nyingi wanakula kodi za watanzania kwa kuja kupima. Wabunge madiwani kura zao wanapata ukanda huu kwa ahadi ya tutaleta barabara ya lami upembuzi yakinifu ukikamilika. Upembuzi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe ni mbovu sana

    Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza. Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara unaathiri ratiba ya Wanafunzi wanaoenda Shule Maghweta na Matomondo Mkoani Dodoma

    Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule. Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Busoka na Masaki Wilayani Kahama hali yake ni mbaya

    Hii ni Barabara ipo Kahama na inaunganisha vijiji vya Busoka na Masaki hali yake ni mbaya, Barabara imekatika na maji mengi yanapita katikati, jambo linalofanya iwe vigumu au isiwezekane kabisa kwa magari na vyombo vingine vya usafiri kupita. Tunaomba viongozi ("Waheshimiwa") na wazee wa Kahama...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kiluvya Makurunge: Barabara zinachongwa bila kujazwa kifusi wala kujenga mitaro. Wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi

    Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji. Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya ahadi ya viongozi kwa muda mrefu kuwa wataweka lami ila wakati tunasabiri ahadi hiyo kwa muda sasa...
  10. JamiiForums Tanzania RC Mtanda aomba radhi Wananchi kwa changamoto ya Barabara ya MECCO-KANGAYE, yaanza kuboreshwa

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya Barabara ya Mwanza Mjini hadi Kangaye kwamba ni mbovu na magari mengi hayapiti, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa Watumiaji na kuwaongezea gharama ya matumizi ya nauli, Serikali imetoa ufafanuzi. Alichoandika...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya maili Moja mpaka Chalinze ni Kero kubwa

    Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee, Baada ya Kuongea vile hajarudi Tena kutoa way forward Barabara imekuwa kero Kubwa sana Kwa wasafiri Yani Foleni ya Kufa mtu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Barabara hii ipo nchini Nigeria?

  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zebra nyingi zimefutika Barabara ya Bagamoyo, TANROADS shughulikieni hilo

    TANROADS wanajisahau sana kuhusu alama za wavuka kwa Miguu ya PUNDAMILIA/ZEBRA, zimefutika kiasi kwamba sasa zimekuwa chanzo cha ajali. Changamoto hiyo ipo sana maeneo ya Barabara ya Bagamoyo, mfano Kituo cha Kibo Complex Tegeta, Boko Basihaya, Boko magengeni, Bunju Center ndio hakuna kabisa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana, ina tu cost Watumiaji wengi

    Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

    Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka. Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vifusi vimemwaga Barabara Tegeta kwa Ndevu tangu Desemba 2025 kisha vimetelekezwa

    Hapa ni Tegeta kwa Ndevu, hii ni barabara ya kuelekea Chuo cha Mzumbe, sasa hii barabara ilianza kufanyiwa marekebisho tangu Mwaka jana (2025) Mwezi wa Tisa lakini ilipofika Disemba kuelekea Januari 2026 wakamwaga vifusi na tangu hapo hakuna kinachoendelea hadi leo Machi 2026.
  19. JamiiForums Tanzania Piki piki ipi ni imara kwa Barabara zetu za kibongo bongo

    Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250 Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna ufisadi wa kutisha MAMCU LTD

    Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu). Kulipana Posho na Safari za nje Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na Kutengeneza safari za nje ambazo hazina tija kwa ushirika Mfano Mwaka jana na mwaka huu wamefanya safari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…