Kwa watumiaji wa njia/barabara ya Dodoma - Singida watakuwa mashahidi wa adha na adhabu wanayokumbana nayo maeneo ya Bahi darajani hasa kipindi hiki, daraja la bahi japo reli ya SGR kipande kile imekamilika limebaki kuwa kero Kwa watumiaji wa magari sababu ya ubovu wa njia yake, ni lini wahusika...