bara

The Bära is a river in Baden-Württemberg, Germany. The Bära is a tributary of the Danube, and originates at the confluence of the Obere Bära (Upper Bära) and the Untere Bära (Lower Bära). The 12.7 kilometres (7.9 mi) Bära, together with the Lower Bära, which is longer and has a larger drainage basin, has a combined length of 26.5 kilometres (16.5 mi).

Obere and Untere Bära join to form the Bära in the Galgenwiesen ("gallows meadow"), about four kilometers above the resort of Bärenthal. This runs moderately without significant inflow a further 12.7 kilometres (7.9 mi) south-southeast in Talschlingen, draining an additional area of 31.2 square kilometres (12.0 sq mi). Passing through Bärenthal at last it flows into Fridingen and there, near the town mill, it flows last of all in a southwesterly direction into the upper Danube, approximately at the entrance to the Fridingen Danube Bend.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
  5. JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje? Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini? Je, jina gani lingekua sahihi; - United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya - The pan-African...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
  7. JamiiForums Tanzania Feisal Salum ; Hakuna mchezaji mwenye chenga na ufundi mwingi Ligi kuu bara kumzidi Pacome zouazoua, Hakuna mchezaji mwenye IQ kubwa kama Khalid aucho

    "Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni...
  8. JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  9. JamiiForums Tanzania Je Kwa mara ya kwanza Zanzibar itakuwa na tarehe tofauti ya uchaguzi na Tanzania bara?

    Siku zote bunge likivunjwa taratibu za uchaguzi zinaanza. Toka January mabunge yote mawili yalitoa ratiba zao. Bunge la wawakilishi lilitangaza kuwa litavunjwa tarehe 23 June, uku Tanzania bara likivunjwa tarehe 27june ili kupisha uchaguzi. Cha kushangaza na kisikitisha Bunge la wawakilishi...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kweli mnapenda basi Mshaurini Rais anazidi kuacha barabara

    Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa ovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu"...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa Bandari zetu bara, sasa ni shirika la ndege nalo limejifia na Zanzibar kuipiku air Tanzania

    Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje? Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
  12. JamiiForums Tanzania Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

    Afrika buana! Hivi ni ugumu wa maisha au malezi magumu tuliyokuzwa nayo ndio umetufunga akili tusitambue jema? Bara hili pekee ndilo ambapo kiongozi anayeweka mbele maendeleo ya Taifa lake na kulinda maslahi ya wananchi wake huonekana adui, hupewa majina ya dikteta, mnywaji damu, mbaguzi, asiye...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  14. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  16. JamiiForums Tanzania Mpasuko Mkubwa Zanzibar na Bara Mkutano wa 12 wa Waendesha Ofisi

    Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibari hakuna utekaji kama Bara ?

    Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara? Na log out
  18. JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  19. JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…