bandia

Bandia is a census town in Udham Singh Nagar district in the state of Uttarakhand, India.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Takribani 20% ya Dawa za Saratani Afrika ni bandia

    Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru. Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kufika mwaka 2030 mwanadamu ataweza unganisha akili yake na akili bandia AI

    Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti, Virobiti vidogo vya kimitambo vinavyosafiri kupitia damu bila hitaji la upasuaji. Kwa mujibu wa...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uoga Wetu Ni Mnyororo Wao: Hatufiki Popote Kama Tutaendelea Kuchekewa Ujinga Kwa Vigezo vya Amani Bandia

    Taweke unafiki pembeni. Watanzania wengi tumejengewa nidhamu ya uoga, na huu uoga ni kama sumu taratibu inayotumaliza roho na akili kila siku. Ni uoga ambao unatuvua utu wetu, unatufanya tusione hatari hata pale ambapo tunaumizwa hadharani. Ni uoga ambao unawapa nguvu watawala na watesi wetu...
  4. Peter Gati

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Wana JF na great thinkers. Watoa threads nyingi humu za kuipinga Chadema na kwingineko avatars zinabandikwa majina bandia ya Kichagga . Ni

    Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari. Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike. Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
  7. Kang

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aishi siku 104 na moyo wa bandia unaoendeshwa kwa battery.

    Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la kwanza la aina yake aliweza kuondoka hospitali na kwenda numbani katika kipindi hiko. Moyo huo...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hutazama mieleka licha kujua ni mchezo bandia?

    Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika, sawa na filamu au kipindi cha televisheni, ambapo matokeo yameamuliwa mapema lakini utendajikazi na...
  9. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna haja ya kubaki na mapengo tiba zipo za meno bandia

    Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya kwanza tangu apoteze meno yake akiwa na miaka 45 🙌🏿😁 Hapo chini Nimekuwekea Picha Kabla na Baada Ya...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kidogo kutumia sura bandia, mnatumia sana chujio (filtering)

    Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi...
  11. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

    Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala huu, tunakaribisha: ✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI. ✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa DeepSeek ya bure ni kama mapinduzi ya kuleta manufaa kwa wote kwenye sekta ya akili bandia duniani

    Februari 10 hadi 11, Mkutano wa Kilele wa Hatua za Akili Bandia (AI) ulifanyika mjini Paris, Ufaransa, huku program ya akili bandia ya China DeepSeek toleo la bure inayovutia macho ya dunia nzima ikipelekea nchi mbalimbali kutambua tena uwezo wa uvumbuzi wa China na kuitumia China kuendelea...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Washiriki wa shindano la urembo wazuiwa kuvaa mawigi, watakiwa kuonyesha nywele zao za asili

    Kamati ya maandalizi ya shindano la urembo nchini Ivory Coast (Miss Côte d’Ivoire 2025 -COMICI) imetangaza kuwa katika hatua za awali za mchujo, washiriki hawataruhusiwa kutumia nywele za bandia. Badala yake warembo wote wanapaswa kuonyesha nywele zao za asili, iwe ni ndefu, fupi, au zimekatwa...
  14. snipa

    JamiiForums Tanzania Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

    Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi. Mfano hapa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi Akili Bandia Inavyoweza Kuchochea maendeleo ya Kasi Barani Afrika

    Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria au Rwanda zinagundua wagonjwa haraka na kwa usahihi zaidi, yote haya shukrani kwa akili bandia...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shinyanga: Kura bandia zadaiwa kukamatwa

    Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule. Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata. Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  19. Chibule

    JamiiForums Tanzania Chuchu Bandia na Mpangilio mbaya wa meno

    Watoto huzaliwa wakiwa na uwezo wa kunyonya bila kufundishwa (sucking reflex). Kitendo hiki ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia pekee ya kumpatia chakula mtoto mdogo. Sayansi imeonesha kwamba mtoto huanza kunyonya (vidole) tangu akiwa tumboni kwa mama, hii inaonekana kupitia picha za ultrasound...
  20. snipa

    JamiiForums Tanzania TUSD Mabadiliko katika sarafu bandia Tanzania

    Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme. Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
Back
Top Bottom