Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣
SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi.
Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi ya Jaipur (India) na Ubalozi wa India nchini.
Mratibu wa Kambi hiyo kutoka Taasisi ya MOI Bi...
Kwa kweli kutokana na kuzunguka dunia na kujikuta sehemu mbalimbali ambapo hata unapoenda kununua kitu na kutumia fedha taslimu, unajikuta noti uliotoa kumpa muuza duka au cashier, lazima kwanza aichunguze kwa aidha kuweka kuiweka kwenye machine ya kutambua noti ni halali au kuwa na kalamu ya...
Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari.
Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio.
Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
Mwanamuziki wa Uingereza na aliyewahi kushiriki Britain’s Got Talent, Natalie Okri, amezua gumzo baada ya kudai kuwa baadhi ya wigs za nywele halisi huleta mikosi na bahati mbaya.
Katika video aliyopost Instagram, Natalie alisema:
• Nywele halisi zinabeba utambulisho wa mtu, zina DNA (vinasaba)...
Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala).
Vilivyokamatwa:
Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12)
Rs 44 lakh taslimu, sarafu za...
Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru.
Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au...
Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti, Virobiti vidogo vya kimitambo vinavyosafiri kupitia damu bila hitaji la upasuaji.
Kwa mujibu wa...
Taweke unafiki pembeni. Watanzania wengi tumejengewa nidhamu ya uoga, na huu uoga ni kama sumu taratibu inayotumaliza roho na akili kila siku. Ni uoga ambao unatuvua utu wetu, unatufanya tusione hatari hata pale ambapo tunaumizwa hadharani. Ni uoga ambao unawapa nguvu watawala na watesi wetu...
Utangulizi
Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta.
Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari.
Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike.
Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la kwanza la aina yake aliweza kuondoka hospitali na kwenda numbani katika kipindi hiko.
Moyo huo...
Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika, sawa na filamu au kipindi cha televisheni, ambapo matokeo yameamuliwa mapema lakini utendajikazi na...
Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki
Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya kwanza tangu apoteze meno yake akiwa na miaka 45 🙌🏿😁
Hapo chini Nimekuwekea Picha Kabla na Baada Ya...
Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.