bandari

  1. JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani hata na Nchi hii nayo tukafanya kama Bandari?

    Mi sioni tatizo kwa kweli kuwapa hao jamaa wa Dubai Bandari. Ni kama tumechelewa kidogo ilitakiwa kufanya hivi toka mwaka 2020. Nyie watu acheni nyie. Msidhani kuendesha nchi ni kitu rahisi... Acheni kabisa. Yaani naangalia namwona Rais anateseka kweli. Najiuliza hawezi kweli hata kuangalia...
  2. JamiiForums Tanzania Usimamizi mbovu ndio unaosababisha bandari kuchangia 37% ya bajeti ya taifa

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema pamoja na Serikali kuwekeza tsh 1 trillion pale Bandarini bado performance imekuwa hairidhishi. Tatizo la bandari yetu kuchangia bajeti 37% ni kwasababu ya usimamizi mbovu ambapo hupelekea baadhi ya vigogo wa serikali na watu mashuhuri kipitisha...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ezra Chilewesa: Kwenye suala la Bandari, wananchi mtuache/tutaamua kwa niaba yenu

    Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao. Swali ni je, Si...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania tunyamaze kabisa, kuhusu bandari tumelikoroga wenyewe tulinywe!

    Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo. Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!? Mikataba ilianza leo!? Si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza! Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC...
  8. JamiiForums Tanzania Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu. Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake? Mimi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Kikwete na uuzwaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) vs Rais Samia na kuuza Bandari zetu

    Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai.. Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
  10. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

    Habari Wakuu! Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali. Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
  11. JamiiForums Tanzania Wanachungulia madirishani waone kama Watanganyika wameshalala au walete kiki moja itulize mjadala wa bandari

    Bado hawaamini kama Watanganyika wameamka na wanatolea macho maliasili zao walizopewa na Mungu. Wamesahau kama bongo movie ilishakufa, kila mwaka graduate laki sita wanaingia mtaani na hawana kazi, wanasubiri kusoma kila tangazo la Serikali, wakaona tangazo la kuuza bandari, bwana wee...
  12. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

    Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev. Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika...
  13. JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD na bandari la mvua nguo aliyekua kamanda Chadema

    Wasalaam watanganyika, Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm, Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine. Hatukuelewa ni kwann ana attend...
  14. JamiiForums Tanzania Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

    Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli? Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
  15. JamiiForums Tanzania Okoa Tanzania Bara: Saini Petition ya kuzuia ubinafsishwaji wa bandari zote za Tanzania Bara

    Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo. Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Bandari. Elezea kadri uwezavyo

    Niko pale
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa Dini kuunguruma kesho kuhusu suala la Bandari na DP World

    Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho. Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao? ====...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tulia, Nape na wengineo, huko mbeleni mnaweza kushuhudia watoto na wajukuu zenu wakikosa ajira katika bandari zetu huku Waarabu wakipeana ajira

    Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafikiri miradi ya Hayati Magufuli ni halalisho la kuua demokrasia, hili la Bandari litawasaidia kujua gharama ya demokrasia

    Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwamba sasa tumepata kiongozi anaeweza kutuvusha na kuwa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora...
  20. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

    Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume "Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…